Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,266
- 54,693
11 years? Umeolewa bila documentation na hujuiBinafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014.
Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali.
Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.
Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa?
Kuna dalili ya ndoa kweli hapa?
Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?
Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema?
Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
Kua kama dada zangu niliozaliwa nao... Mchune hadi upate mtaji wa uhakika alafu fanya biashara unayoiweza kwa nguvu zako zote.Hahitaji mtoto mpaka tujipange.
Tunaishi maisha mazuri tu.
😃😃Sasa kama mnaishi wote huyo ndoa ni hiari sio lazima...Hapana. Ninapata huduma zote kama mke na mpaka kuna baadhi ya ndugu zangu anawasomesha. Ni mtu anayeniheshimu sana.
Tunaishi pamoja na huenda hilo ndilo linalomtia jeuri
Mmnh,.Hapana. Ninapata huduma zote kama mke na mpaka kuna baadhi ya ndugu zangu anawasomesha. Ni mtu anayeniheshimu sana.
Tunaishi pamoja na huenda hilo ndilo linalomtia jeuri
Kumbe umeolewa shida yako ni kwenda kuwaringishia watu kanisani?🤣🤣🤣🤣Hapana. Ninapata huduma zote kama mke na mpaka kuna baadhi ya ndugu zangu anawasomesha. Ni mtu anayeniheshimu sana.
Tunaishi pamoja na huenda hilo ndilo linalomtia jeuri
sema mwakani itabidi unizalie mtoto 😊Sijazaa hata mtoto, mpaka tujipange
Hakuna muoaji hapoAmesema kila kitu kitapatikana ndani ya ndoa.
Na ndoa ni mpaka ajipange
Nusratt Ukiwa Muongo Uwe na Kumbukumbu 👉Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamuaBinafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014.
Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali.
Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.
Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa?
Kuna dalili ya ndoa kweli hapa?
Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?
Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema?
Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
Mganga wake kamwambia asizaeAmesema kila kitu kitapatikana ndani ya ndoa.
Na ndoa ni mpaka ajipange
Kanifungulia duka kubwa la jumla.Kua kama dada zangu niliozaliwa nao... Mchune hadi upate mtaji wa uhakika alafu fanya biashara unayoiweza kwa nguvu zako zote.
Utafanikiwa kiuchumi hata ukipata watoto wawili utawamudu wasome shule nzuri, wapate kila wanachotaka... Ndoa sio lazima sababu unaweza kuipata ukabaki kujuta kwanini usingeishi maisha yako
sasa si ndoa tayari hiyo? We mtegeshee tu mtotoHapana. Ninapata huduma zote kama mke na mpaka kuna baadhi ya ndugu zangu anawasomesha. Ni mtu anayeniheshimu sana.
Tunaishi pamoja na huenda hilo ndilo linalomtia jeuri
Haya Nusratt jibu mashtaka hapaNusratt Ukiwa Muongo Uwe na Kumbukumbu 👉Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua
Kanifungulia duka kubwa la jumla.
Na yeye ni mwalimu wa sekondari.
Sio kama mimi ni tegemezi, hapana.
Ninajimudu mahitaji yangu.
Na huoni kama nikimbebea mimba ndio nitakuwa nimejifukuzisha?