Nauliza swali hili ili nielimishwe.Uchumba unaanzia pale Msichana anapomtambulisha Mchumba wake kwa Wazazi au Mwanaume anapomvisha Msichana pete ya uchumba au vyote kwa pamoja?Mchumba mwenye nia nzuri utamjuaje kwani mwingine anaweza kumvisha pete Msichana na bado asimuoe.Wandugu mnielimishae.