Hauna muda maalum,inategemea maridhiano yenu.
Kwa nini kuwe na muda maalum wakati hamna uchumba maalum?
Kama kuna uchumba wa aina tofauti (dini, tamaduni etc) kwa nini kusiwe na mida tofauti ya kuchumbiana?
Unakusudia uchumba wa aina gani?
Unaweza kuuliza hivyo ukaambiwa "uchumba" wa "ndoa ya mkeka" hata dakika tano zinatosha.
Mimi nadhani kuna baadhi ya wazazi hawakutimiza wajibu wao kwa vijana wao wakati wanakua AU kuna vijana hawakuwasikiliza wazazi wao walipokuwa wanafundishwa kuhusu urafiki, uchumba na ndoa.
UCHUMBA ni neno relative, especially kwa kizazi hiki cha sasa.
Ila kwa nilivyofundishwa ni kuwa urafiki unaweza kuwa as long as you want it, uchumba usizidi mwaka...ndoa! Vijana wengi siku hizi wanakimbilia kuchumbiana kwa ile notion ya, "kumuwahi" asijechukuliwa na mwingine. Which is - to me - a grave mistake.
Ndipo hapo mnaishia kupeana ultimatum za lini ndoa ifungwe nk nk. Otherwise, ingependeza sana wakati wa urafiki muutumie vyema kufahamiana, kuwajua marafiki zake, ndugu na hata wazazi - kama rafiki wa binti/kijana wao.
Ni hayo tu kwa leo...usisite kuniuliza zaidi.
Tanzania inaitwa presumption of marriage hiyo..aiseee..!!!!Utapeli wa vijana wanaotaka kuchovya kwa gia ya uchumba mwingi, mtu anabeep kwa gia ya uchumba, anajibiwa, anajikuta hana la kusema.
Mara ooh, matatizo ya kifamilia. Mara ooh sijakaa sawa, uchumba mwaka wa saba unapita.
Mwishowe mtoto wa kwanza anazaliwa katika uchumba.
Kwanini tusiondoe ndoa kabisa na kuishi na uchumba wa milele? Think about how the challenge of wooing your everlasting fiancee everyday would spice things up.
Think about how the freedom of "no marriage, no divorce, you just walk out the door" would strengthen the relationship, or not hinder anyone from easily pursuing their other options.
Let's face it, "uchumba" mwingine tayari ni "common law marriage". Mtu mnakaa pamoja zaidi ya miaka miwili mnagegedana zaidi ya waliooana, halafu bado "mchumba" tu?
Kama kweli mpo vizuri na mnajua mnachokifanya, kwa mtazamo wangu mwaka usizidi hamjafanya kweli
Mie pia nadhani mwaka unatosha kabisa.
Ni nini kinafanyika ndani ya huo mwaka?