Uchumba mwaka 1,2,3,4,5.........12.

Uchumba mwaka 1,2,3,4,5.........12.

Uchumba ndugu!
Mtu anavishwa pete mpaka inafubaa dalili za ndoa hakuna,kuzibiana rizki tu!!!!!

Ina maana hata wazazi waliopokea posa hukaa kimya muda wote huo?
 
Ina maana hata wazazi waliopokea posa hukaa kimya muda wote huo?

Bint akiwa home anamtetea mpenzi kuwa anajipanga bado huku hata yeye hana imani kuwa yatakuwa
 
Wapo wanawake hawataki kuolewa
Oprah mfano...
we wapenda kuolewa naona...

kuna time ukifika hasa kama umejiendeleza tayari
ndoa inaogopesha...

Na ndoa za siku hizi hata kama haujajiendeleza zinaogopesha mno.
Mtu unaingia ukiwa na mategemeo mengi unachopata huko shida tupu. Bora uchumba au kudate wenye furaha tele
 
Na ndoa za siku hizi hata kama haujajiendeleza zinaogopesha mno.
Mtu unaingia ukiwa na mategemeo mengi unachopata huko shida tupu. Bora uchumba au kudate wenye furaha tele


hujambo 'binti chura'? lol
 
Back
Top Bottom