Uchumba gani huu?

(ney-Neema) acha kumsingizia rafiki, wewe olewa kama unataka, kama hutaki sugua bench.
 
Si umpe tu yaishe, yaani hadi hapo huoni kuwa unadanganywa tu? sorry I mean huyo rafiki yako
 
kwani yeye mwenye ndoa tarajiwa amesema anataka ushauri au kihere here chako kuivalia shera harusi ya mwenzio na ushauri anataka katika section gan
a) watoto watatu
b) mama tofauti
c) ndoa mwezi wa pili

Hapo tushangae wote
 

Umeamua kunianika!
 
Preta cheki rafiki mwingine anasingiziwa....

Hapa kuna hatari ya mtu kuolewa ilimradi tu aondoe gundu..mtu ana watoto wa3 unaenda kua mke au mlezi wa watoto..makubwa!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna wanawake huwa mwatumia vichwa kuvaa mawigi tu...lakini akili hakuna kabisa!!!

Mi nasema na mtafunwe tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…