Uchoyo ukifikia hapa bora kifo,
Mama mmoja alikuwa anapakua chakula ghafla akackia hodi,
akaficha chakula chini ya kochi,
Mmgeni alipoingia akaona moshi unatoka chini ya kochi.
Mgeni: Moshi wa nini huo?
Mama: Mwenzangu utaiweza mipanya ya humu kwa kuvuta bangii....!!