Uchovu wa CCM wadhihirika Morogoro

Uchovu wa CCM wadhihirika Morogoro

FreedomTZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
1,104
Reaction score
251
CCM wamechoka ile mbaya. Shule ya msingi Luhoza iliyopo Morogoro ina mwalimu mmoja tu. Kwa nini tuipigie kura kama hali ndio hii?
 
Hiyo habari imenisikitisha sana, wanahonga mabilion shule yenye watoto 200 inamwalimu mmoja tu, alafu wanatuambia watajenga viwanda stupid mnaharibu future za watoto wetu kwa ujinga wenu
 
Jamani jamani!Halafu bado kuna wajinga wanaoendelea kuishabikia CCM!
Binafsi nitafanya maamuzi sahihi kuwaokoa wadogo zangu hao kwenye hiyo adha.
 
Hiyo habari imenisikitisha sana, wanahonga mabilion shule yenye watoto 200 inamwalimu mmoja tu, alafu wanatuambia watajenga viwanda stupid mnaharibu future za watoto wetu kwa ujinga wenu

Jamani ni masikitiko sana, sasa hiyo ni ya hapa morogoro tu, ina majengo mazuri ila walimu ni shidhaa, wanafunzi 279 mwl mkuu mmoja, na wa pili anapatikana angalau miezi miwili kwa mwaka mzima! Walimu wa muda wapo pia kusaidia kusukuma gurudumu la elimu lakini nao hawana elimu! Wazazi wanachangishwa shs 21,000 kila mwezi kulipa posho zao.pia mwl mkuu anaonekana amechoka na maisha au utu uzima sana. ..hili naamini limewagusa wadau wengi....kwa sasa nimepoteza kumbukumbu na sijui kama elimu ni kipaumbele #???? Hivi ni #2 au 3?? Basi kwa hili chama changu kinachoongoza serikali sikivu kinahitaji kuhakiki vipaumbele vyake!
 
Nimeona ITV aiseee..
nimeshtuka sana sanaaaa...

CCM ondokeni tu...
 
Jamani jamani!Halafu bado kuna wajinga wanaoendelea kuishabikia CCM!
Binafsi nitafanya maamuzi sahihi kuwaokoa wadogo zangu hao kwenye hiyo adha.

Wapo utafikiri mb.egu zilizowazaa ni za gilisi/oilchafu.
 
Hiyo habari imenisikitisha sana, wanahonga mabilion shule yenye watoto 200 inamwalimu mmoja tu, alafu wanatuambia watajenga viwanda stupid mnaharibu future za watoto wetu kwa ujinga wenu

Mzee kingunge kasema ccm imeishiwa pumzi inahitaji mawazo mapya watu wapya mfumo mpya wenye itikadi tofauti
 
kikwete kaboresha kafanya mabadiliko kila kona- FaizaFoxy

niliona aibu kishenzi
 
Last edited by a moderator:
Yaani mijinga bado ipo na wimbo wa utaisoma namba. Namba gani wakati shule in mwalimu mmoja? tumeshaisoma kwamba hule ina mwalimu mmoja tu. Miaka 54 ya uhuru shule inakosa waalimu huku mabilionioo yakitumiwa kwa rushwa na ufisadi
 
Umehesabu fedha za Lowassa?

Tujulishe alizitoa wapi nae anafanya kazi serikalini miaka yote?

Subiri kimbembe cha Magufuli baada ya kuapishwa.
 
Back
Top Bottom