Uchonganishi huu ni sumu

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,231
Usipende kuchonganisha watu ili wewe ubaki kuonekana mzuri kwa pande zote mbili, maneno ya huku wapeleka huku na ya huku wapeleka huku... This is 2016 jaribu kutumia muda mwingi kufanya yanayompendeza Mungu (UPATANISHI), usifanye mwenzako aonekane mbaya mbele ya macho ya watu ili wewe uonekane mzuri.....

Jaribu kuongelea vitu vizuri alivyo navyo na sio vibaya tu.... Don't take others flaws for granted....

Jaribu kuongelea maendeleo na kufanya maendeleo. Jaribu kuwa na watu wenye busara na maendeleo uvune jambo.
 
Labda ungesema kilichokusibu, vinginevyo kuna mtu unaemjua unamlenga humu.
 
ubidamu kazi sana. upendo na heshima vikitawala haya mambo yatapungua.
 
Huo ni ujumbe kama mtunzi wa nyimbo au riwaya si lazima yamkute. Ila itakayemgusa inamuhusu
 
Ujumbe mzuri Asante.
Atakayepanick umemuingia kunako abadilike
 
Kama jiwe limetupwa gizani vile!na upande mwingine ni fundisho flan hivi.
 

Ujumbe mzuri na ushauri unaopaswa kuzingatiwa
 
Aisee wengine ndio maisha yao hayo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…