Mkuu Siku hizi unaonekana kabisa kuwa umekuwa puppet wa ccm.Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?
Ni kadi ngapi zilichomwa?
Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko
.....Hahahahah
Unawapa za uso
Tatizo hii nchi utoto ni mwingi sana.
Watu wengine ni Uni graduate lakini wamemkabidhi Mange akili zao. Inasikitisha sana kama taifa la kesho.
Angalia kwa sasa hii hoja ya njaa. Kelele nyingi utadhani Tanzania imefikia kiwango cha baa la njaa lililoikumba Ethiopia.
Baada ya muda hizi kelele zinapotea na watakuja na kelele zingine.
Kwa Upinzani huu wa akina Mbowe unaosubiri FISADI litakalokatwa CCM wapige dili? Sahau mkuu - CCM tunayo tupende tusipende na Magufuli atabaki kuwa the Best Alternative hata kama ana mapungufu.Nyingi ya hizo kadi zimechomwa kwenye nyoyo za raia wa nchi ya ahadi,watabainisha hasira zao miaka 3 na miezi minane ijayo.
Hakuna neno la huruma litakaloweza kubadili msimamo,hatatokea kama ambavyo hajatokea kiongozi yeyote wa kiimani atakaesikilizwa,ni HAPANA TU itatumika.
Kwani ccm bado ipo mkuu,mbona iko kimya sana.Kwa Upinzani huu wa akina Mbowe unaosubiri FISADI litakalokatwa CCM wapige dili? Sahau mkuu - CCM tunayo tupende tusipende na Magufuli atabaki kuwa the Best Alternative hata kama ana mapungufu.
Sasa kwa nini umeshindilia chote na hujaenda kuwagaia wenzio wenye njaa?You need to take a lesson on logic, bro. Mimi mwenywe nina kitambi na nimetoka kushindilia mlo mwingine wa ukweli lakini najua mtaani na kijijini kwangu wapo wengi tu wenye njaa.
Kwa hiyo kumbe wala hakuna njaa...
Sina chama mimi.Mkuu Siku hizi unaonekana kabisa kuwa umekuwa puppet wa ccm.
CCM ni chama kipenzi cha watanzania ni nani wa kuchoma kadi?
We umekula?.....
....umekula?
I guess ukienda polisi kwamba umepoteza kadi ya ccm unaweza sindikizwa na virunguUmeriport kituo cha polisi?
Umesukia askofu wa jumbo catholic mwanza? Anataka tuwaombee wasiojua kuna njaa wajue IPO. Habari za kadi hata mie siwezi kuchoma mana ni Mali yanguHahahahah
Unawapa za uso
Tatizo hii nchi utoto ni mwingi sana.
Watu wengine ni Uni graduate lakini wamemkabidhi Mange akili zao. Inasikitisha sana kama taifa la kesho.
Angalia kwa sasa hii hoja ya njaa. Kelele nyingi utadhani Tanzania imefikia kiwango cha baa la njaa lililoikumba Ethiopia.
Baada ya muda hizi kelele zinapotea na watakuja na kelele zingine.
Umeelewa ulichokiandika?Naona Mange kawaweka mahali wenyewe ,mpaka.mmetuma mshenga,Kai mnayo.Card za Chama Cha Majangili bado zinachomwa..
imeyeyuka kama operation ukuta na kata funua...Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?
Ni kadi ngapi zilichomwa?
Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko
Kwa haya yanayoendelea.ipo siku mtakuja kutafuta kadi za ccm.mtapata mbili tu.yako na ya magufuliVipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?
Ni kadi ngapi zilichomwa?
Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko