FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,907
- 109,250
Nchi ipi?Bora hata wayahudi, waarabu ni marufuku kuweka kanisa au kueneza injili!
Ukikamatwa unakatwa kichwa
Kama una akili timamu, pima halafu toa jibu nani zaidi
Mimi nijuavyo wapo Waarabu wakristo wachache sana na ingekuwa wanafanyiwa usemavyo asingebaki hata mmoja, maana ni minority.