Uchomaji na uharibifu wa makanisa Israel unaofanywa na wayahudi dhidi ya wakristo wazidi kupamba moto

Bora hata wayahudi, waarabu ni marufuku kuweka kanisa au kueneza injili!

Ukikamatwa unakatwa kichwa

Kama una akili timamu, pima halafu toa jibu nani zaidi
Nchi ipi?

Mimi nijuavyo wapo Waarabu wakristo wachache sana na ingekuwa wanafanyiwa usemavyo asingebaki hata mmoja, maana ni minority.
 
Nchi gani unazungmzia make umejumuisha make hata misri ni chi ya kiarabu lakn unakuta chini msikiti juu kanisa
Na kila mwaka lazima tuzike wa Orthodox kibao wanaouliwa na waislam huko Misri!

Nenda nchi kama Saudia uone kama unaweza vaa rozari waziwazi na ukawa salama
 
Nitajie makanisa matatu tu yaliyoko Saudia
Hakuna kanisa hata moja. Saudi Arabia ni 100% Muslims, kanisa la nini?

Mkristo yupi aliyeuliwa Saudi Arabia kwa kuwa tu ni mkristo? Au kanisa lipi lilikuwepo likachomwa moto? Kama inavyofanyika hivi sasa Uyahudi?
 
Acha kutafuta angle ya kujificha dada yangu! Rudia kusoma nilichoandika utagundua umejibu out of context!

Ninachosema hawaruhusu kujenga makanisa na kueneza injili. Sijasema mkristo ameuliwa, mtume wenu si alisema msituue bali mtuchaji na kodi ya kutokuwa waislam (jizya)?

Kuhusu makanisa kuchomwa huko Israel ni kawaida sana na imetabiriwa katika kitabu cha Nabii Daniel

Itafika wakati hata Gogu wa Magogu (US) ataikataa Israel

Huu Uzi unanirudisha tu kwenye Bible kuamini kuwa yaliyotabiriwa yanaanza kutokea
 
Hiki nini? Au hukuandika wewe?

QUOTE="Nyakageni, post: 29773806, member: 36641"]Bora hata wayahudi, waarabu ni marufuku kuweka kanisa au kueneza injili!

Ukikamatwa unakatwa kichwa

Kama una akili timamu, pima halafu toa jibu nani zaidi[/QUOTE]
 
Hiki nini? Au hukuandika wewe?

QUOTE="Nyakageni, post: 29773806, member: 36641"]Bora hata wayahudi, waarabu ni marufuku kuweka kanisa au kueneza injili!

Ukikamatwa unakatwa kichwa

Kama una akili timamu, pima halafu toa jibu nani zaidi
[/QUOTE]Uzee mbaya sana! Hata quoting umeshindwa????

Nilichosema ni kwamba myahudi ni bora kuliko mwarabu kwenye kuvumilia imani ya wengine , ndiyo maana kuna makanisa pale Jerusalem na nchi yote

Waislam waarabu hawataki hata kuona kanisa kwenye Ardhi yao
 
Uzee mbaya sana! Hata quoting umeshindwa????

Nilichosema ni kwamba myahudi ni bora kuliko mwarabu kwenye kuvumilia imani ya wengine , ndiyo maana kuna makanisa pale Jerusalem na nchi yote

Waislam waarabu hawataki hata kuona kanisa kwenye Ardhi yao
Nimekuquote vizuri kabisa na hiyo ni utaalaam wa kutumia JF.

Wapi walipouliwa wapi walipochomewa kanisa?

Wacha kubadili maneno, jibu swali na kama ulikuwa unasema uongo ujielewe kuwa u muongo na una chuki binafsi tu na Waarabu.

Makanisa yachomwe na Wayahudi kesi uwapelekee Waarabu?

Kuwa mkweli wa nafsi yako.

Waarabu Waislam wanafundishwa ndani ya Qur'an kuheshimu dini na wadini yoyote ile.

Ingekuwa Waislam wana chuki za kipumbavu hizo hata hapa kwetu usingeuona Ukristo, soma historia uone Wakristo wa kwanza wa hapa walikaribishwa na nani mpaka leo hii wewe unaujuwa Ukristo?

Huko wanapochomewa sasa Makanisa Wakristo wameishi Wakristo mamia ya miaka kabla ya kuja mazayuni na ndiyo hayo Makanisa yote yalijengwa chini ya Wapelestina ambao wengi wao ni Waarabu Waislam.

Punguani wahed.
 
Nilitaka nikujibu kwa uthibitisho, ila kwa kuwa umemalizia kwa matusi basi ngoja nikuache. Alamsiki dada yangu, naingia kulala
 
Nimekuquote vizuri kabisa na hiyo ni utaalaam wa kutumia JF.

Wapi walipouliwa wapi walipochomewa kanisa?

Wacha kubadili maneno, jibu swali na kama ulikuwa unasema uongo ujielewe kuwa u muongo na una chuki binafsi tu na Waarabu.

Makanisa yachomwe na Wayahudi kesi uwapelekee Waarabu?

Kuwa mkweli wa nafsi yako.

Waarabu Waislam wanafundishwa ndani ya Qur'an kuheshimu dini na wadini yoyote ile.

Ingekuwa Waislam wana chuki za kipumbavu hizo hata hapa kwetu usingeuona Ukristo, soma historia uone Wakristo wa kwanza wa hapa walikaribishwa na nani mpaka leo hii wewe unaujuwa Ukristo?

Huko wanapochomewa sasa Makanisa Wakristo wameishi Wakristo mamia ya miaka kabla ya kuja mazayuni na ndiyo hayo Makanisa yote yalijengwa chini ya Wapelestina ambao wengi wao ni Waarabu Waislam.

Punguani wahed.
Umerudi kwa kasi ya hatari!
 
Back
Top Bottom