Uchomaji na uharibifu wa makanisa Israel unaofanywa na wayahudi dhidi ya wakristo wazidi kupamba moto

Kuna mtu nilimwambia israel waislam ni wengi kuliko wachristo akanibishia..wengi ni jew's,wanafata waislam wa mwisho ni christian ambao hawazid 2%
 
Hao ni wale walioshikamana na dini, lakin wengi ni makatili na wabaguz na hadi leo hii wanaamin mtu mweusi ni mtumwa tu

Ukweli mtupu kaka. Tena na wengine wameshikama na Dini lakini wameshindwa kuuacha ubaguzi.
 
Hao ni wale walioshikamana na dini, lakin wengi ni makatili na wabaguz na hadi leo hii wanaamin mtu mweusi ni mtumwa tu

Sio kweli kwamba wanaamini mtu mweusi ni mtumwa,,,,nimeishinao hivyo nawajuwa vizuri sana,Hata ktk nchi zao wamejaa tele huko, but sijaona wakibaguliwa,,,na huku napokaanao most of them ni watu wazuri wanaroho nzuri na si makatili kama usemavyo. May be itakuwa ni wachache sana ukilinganisha na cc.
 
Watu c wanasemaga mayahudi ni wakrito wenzao utasikia mtu anaapa yseu wa nazareti
 
Wayahudi wamegawanyika kwa matabaka mawili. Kuna Sephardic Jews: Hawa kiasili ni Wayahudi wa Mashariki ya kati na wale waliyotokea kaskazini mwa Afrika na ndiyo Wayahudi wa asili na ndiyo ambao waliyotajwa kwenye vitabu vya Dini. Hawa Wayahudi kiasili muonekano wao hauna tofauti na Waarabu na hii kwa sababu wote wametokea maeneo yaliyopakana. Tofauti yao ni Dini tu.

Tabaka aina ya pili ni Ashkenazi Jews, hawa wanatokea mashariki ya Ulaya. Kiasili hawana muunganikano wa kidamu na Wayahudi wa kiasili. Kwa kifupi ni Wayahudi wenye uyahudi wa kukopa, na ndiyo hawa akina Bibi Nyetanyahu.

Swali la kujiuliza, Ashkenazi Jews wametokea wapi? Uyahudi wao ni wa namna gani? Na ni wapi asili yao na waliupatia wapi Uyahudi wao. Kwa taarifa tu Ashkenazi Jews ndiyo Wayahudi who compromise 90% of the Jews in the world, na huu ndiyo mwanzo wao, na ni wenye kustaajabisha kwa namna yake.

Historia inatuambia "at the eastern edge of Europe" kulikuwa na kabila iliyojulikana kama "Khazar". Mnamo mwa 740 AD, Mfalme wa hiyo kabila na baraza lake waliamua kuchagua Dini ambayo itakayoongoza jamii yao. Kwa hiyo, yeye pamoja na Wazee wa baraza wakapendekeza katika Dini tatu ambazo Uislam, Ukristo na Uyahudi waamue mojawapo katika kuongoza jamii yao. Mfalme na Baraza lake wakachagua Dini ya Uyahudi na sababu ya kuichagua haikuwa ya kidini zaidi Bali ni ya kisiasa. Kwani kwa nyakati hizo kulikuwa na Dola kubwa ya Kiislam na yenye nguvu. Halikadhalika kwa Ukristo vilevile kulikuwa na Dola kubwa na zenye nguvu. Kwa hiyo, uchangaji wao wa karata wa Mfalme wa Khazar na Baraza lao uliwanusuru Taifa lake kwa kipindi hicho kwani maamuzi yao kama yangelikuwa wamechagua Dini ya Kiislam basi wangepata upinzani mkubwa sana kutoka Dola kubwa zilizoshika Ukristo na kama wangelichagua Dini ya Ukristo basi wangelipata upinzani mkubwa kutoka katika Dola ya Kiislam. Kwa hiyo, walichanga karata zao kwa namna hiyo.

Historia inasema; Mnamo karne ya 13 kabila ama Taifa la Khazar ilifukuzwa katika makazi yao kutokana na vita iliyozuka kupambana na Mataifa mengine na wakafukuzwa katika ardhi yao na wakakimbilia kwa kuelekea " westward ". Wengi wao walikimbilia Poland na Urusi. Hawa Khazar kwa sasa wanajulikana kama Wayahudi wa ki' Ashkenazi ama Ashkenazi Jews. Ambao walichagua Uyahudi kama Dini yao, ambao hawana unasaba wowote na Wayahudi asilia, ambao wenye Uyahudi wa kuuvamia/kukopa. Ambao ndiyo waliyoanzisha chama chenye mlengo wa Kizayuni unaoleta tafarani Dunia nzima. Ndiyo hawa akina Netanyahu, ndiyo hao wanaotawala Amerika na Ulaya ya Magharibi.
 
Ukristo na uyahudi sio kama wanapendana, la hasha.

Kwa kuwa uislam ni tishio huungana ili kuukabili.
 
Mambo ya ajabu sana.Pamoja na kuinadi sana Israel kumbe jamaa wanatuona wadwanzi tuu kule.
 
Duuuuu
 
Hichi kitendo kingefanywa na nchi mojawapo ya kiarabu Dunia mzima ingesimama.Lakini ona hizi habar kama sio mfukunyuzi hazitangazwi.IF U WANT TO KILL A DOG GIVE IT A BAD NAME.
Bora hata wayahudi, waarabu ni marufuku kuweka kanisa au kueneza injili!

Ukikamatwa unakatwa kichwa

Kama una akili timamu, pima halafu toa jibu nani zaidi
 
Nchi gani unazungmzia make umejumuisha make hata misri ni chi ya kiarabu lakn unakuta chini msikiti juu kanisa
Bora hata wayahudi, waarabu ni marufuku kuweka kanisa au kueneza injili!

Ukikamatwa unakatwa kichwa

Kama una akili timamu, pima halafu toa jibu nani zaidi
 
Nasikia wazungu kuna makanisa wamewaandikia waumini wa kiafrika kuwa waumini ni weupe tu(white only) wakati kwa waarabu wote mnagusana kwenye miguu na mabega .
Kwani ni maandiko???

Si utashi tu wa watu......

Hukumu hao watu na si dini
 
Halafu Wakristo humu JF usitaje unyama wa wayahudi wanawatetea kwa hali na mali.

Wateteeni kwa kuchoma Makanisa sasa.
 
Back
Top Bottom