Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,438
- 857,732
- Thread starter
- #81
[emoji102] [emoji23] [emoji23]Hata mie sikusemi kwa soda zakoView attachment 560605
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji102] [emoji23] [emoji23]Hata mie sikusemi kwa soda zakoView attachment 560605
Kumbe ukifumaniwa unakuwa mpoleeee...
![]()
Sent using Jamii Forums mobile appHongera kwa kuanzisha kiwanda mama...
![]()
Kumbe ulidhani nna tabia mbaya kama wewe?Mmh kumbe laivu huwa una aibisha hiviView attachment 560612
Sasa ndio mwenyewe umenunua kavocha kako ujiunge bando umerud home nite unaweka vocha ile inaingia tubunakuta SMS wasap Mara IMO Mara messenger na ulikua na kajero hapo ndio utajua matusi yameletwa duniani Kama relief
Sasa ndio mwenyewe umenunua kavocha kako ujiunge bando umerud home nite unaweka vocha ile inaingia tubunakuta SMS wasap Mara IMO Mara messenger na ulikua na kajero hapo ndio utajua matusi yameletwa duniani Kama relief
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji781] [emoji23] [emoji779] [emoji23] [emoji779] [emoji23] [emoji781]Watanzania bwana! Nimechekaaah! Nyi mnasema eti: "Hadi raha"