Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 4,645
- 7,123
Pale mliyempeleka kama msomi aliyebobea awatetee ktk fani yake .alafu anafanya yasiokuwepo ktk .....!
Pale mliyempeleka kama msomi aliyebobea awatetee ktk fani yake .alafu anafanya yasiokuwepo ktk .....!
Kumbe wanakusingizia?..ngoja na mimi nijitose kwenye pambano!
young kilimanjaro
Nlikushauri uache kutumia haya makitu hukutaka kunisikia...
![]()
Kaona tu hii picha keshapata na conclusion jamanView attachment 558975
Niko hapa mjukuu wangu. Sema babu anakusikiliza...Asprin babu ama
sent from my Tecno W3
Mhenga bado niponipo kwanza
![]()
Nataka kuoa babu nipe baraka zakoNiko hapa mjukuu wangu. Sema babu anakusikiliza...
Mbona waanza kunipakazia kosa langu lipi?
Baraka nakupa kwa niaba yakeNataka kuoa babu nipe baraka zako
sent from my Tecno W3
Asante kwa baraka ila ujue wewe ni shemejiBaraka nakupa kwa niaba yakeView attachment 558989
Ushapata mchumba au unahitaji mchango??Nataka kuoa babu nipe baraka zako
sent from my Tecno W3
Hivi unajua kakaako anazeeka vibaya kama wewe?Uwiiii sio vizuri hivyo wee babu kijana. Hata kuquote nimeshindwaView attachment 558992
Hivi unajua kakaako anazeeka vibaya kama wewe?
![]()
Na wewe uache ujinga... ushakuwa mkubwa sasaSana tu hadi shuka kanunua specialView attachment 558995
Hahaha,