Umecheka umeyaona mazuri hayo au?Pole Da Sophy hahahahahahahah
Watu 'mejaliwa imani ya kweli aisee........kwahiyo umeamini ni ''Da Sophy'' kabisaaa?Pole Da Sophy hahahahahahahah
Hata sijui, kwani ni nani maana mie nimetumia ID yake!Watu 'mejaliwa imani ya kweli aisee........kwahiyo umeamini ni ''Da Sophy'' kabisaaa?
We kwa imani yako umeamini ni nani?Watu 'mejaliwa imani ya kweli aisee........kwahiyo umeamini ni ''Da Sophy'' kabisaaa?
Dullah MnyongeKwani mlivyokuwa wachumba namba yako aliisevu kwa jina gani?
Mwenzangu! Majina matamu matamu abadilisha mara kwa mara. Eti leo hii Dulla Mbabe. Loh!Kwani mlivyokuwa wachumba namba yako aliisevu kwa jina gani?
Sasa kama kwenye uchumba ulishaitwa Dulla Mnyonge ulitegemea mabadiliko baada ya ndoa?Dullah Mnyonge
Mwanaume hanuniwi, mwambie kuwa anavyofanya hujapenda baada ya hapo mpikie ugali kama kawaida.Mwenzangu! Majina matamu matamu abadilisha mara kwa mara. Eti leo hii Dulla Mbabe. Loh!
Lakini atanyooka tu, ananijua vizuri. Hii nimeweka hapa na nyie mjifunze lakini nitaimaliza mwenyewe.Hahhahaha, POLE SANA Da Sophy. NDOA haziishi vituko asee
Ndio.Sasa kama kwenye uchumba ulishaitwa Dulla Mnyonge ulitegemea mabadiliko baada ya ndoa?
Kama bado mwenzangu jipatie hawara utainjoi. Utakuja kuniambia.Hahahaaa hivi vituko vya ndoa vinatoa ahueni kwa wale ambao hawajabahatika kuolewa.
Kwa mtindo huo ndo mana anakuita DULLAH BAUNSALabda Bujibuji ndo mnyonge. Mi sijawahi kuwa mnyonge hata siku moja na ananijua vizuri
Kama bado mwenzangu jipatie hawara utainjoi. Utakuja kuniambia.