Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,076
- 859,168
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku huo ukuta unajengwa nilikuwepo watu walicheka wakavunjika mbavu
Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huu ndio uswahili kataka ubora wake
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hapo ni kwenda tu sokoni kununua viungo elekezi,unapitia buchani unachukua nyama kilo moja (ile yenye mifupa kidogo ndo inafaa),bila kusahau coca bonge.unawapigia na washkaji wawili watatu,unawaambia leo machalarii kama tuko rombo vile.