UAMSHO wakisema hawataki muungano wanafunguliwa kesi za kuhatarisha usalama wa nchi! Mchungaji akisema, serikali inapiga makofi. Kweli mfumo kristo unafanya kazi yake mchana kweupe ndani ya serikali.
Ndio maana wanataka wawe huru ili wale kutokana na jasho lao na watengeneze mikakati ya maendeleo kutokana na idadi yao,sasa uhamsho au shekh Ponda wakiyatamka haya mnawaita Magaidi na wahujumu uchumi ilhali Mchungaji leo mnamuunga mkono.Nyie watu mbona hamueleweki?.
kwa hiyo unataka kusema kila alichokifanya na kukiamua Nyerere ni sahihi?
Kwa hiyo kazi yenu ni moja kung'oa wakristo kwenye nafasi za uongozi na kuhakikisha kila chama kinasimamisha wagombea waislamu ili mjenge mfumo ISLAMU!.. Unampigia debe ZITTO ili mfumo islamu umpokee JK!
Ndo maana nimeandka huu kwenye thread mojawapo kwamba mwl nyerere alifanya makosa makubwa sana kuungana na hawa jamaa. Ni wachache lakini usumbufu wao ni kama usumbufu wa utitiri
]wacha kutokwa na povu!!! huyo mchungaji unayetaka sheria ichukue mkondo wake ametukana dini ya mtu? au kukashifu, au umesikia akihamasisha kuwachukia waislamu? hao unaofikiri wana haki hawajawekwa lupango sababu ya kudai muungano uvunjike na zanzibar iwe na mamlaka kamili bali ni kuchochea na kuwamotivate vikundi fulani kuchoma makanisa na kukashifu dini nyingine wakijiona wao ni wasafi na wenye haki zaidi ya wengine. kwahiyo usiwe zoba fwata upepo.
UAMSHO wakisema hawataki muungano wanafunguliwa kesi za kuhatarisha usalama wa nchi! Mchungaji akisema, serikali inapiga makofi. Kweli mfumo kristo unafanya kazi yake mchana kweupe ndani ya serikali.
Hii ni nafasi ya kipekee, waambieni wachungaji kuanzia kesho wajikite kwenye hili suala ili Muungano uvunjike. Tatizo nini?
TAYADI nikuombe kitu kimoja tu; jadili hoja na wala usinihusishe na chochote usichokuwa na uhakika nacho.
Afu huyu jamaa ni mkenya. wala siyo mtanzania! napendekeza afukuzwe nchini.
UAMSHO wakisema hawataki muungano wanafunguliwa kesi za kuhatarisha usalama wa nchi! Mchungaji akisema, serikali inapiga makofi. Kweli mfumo kristo unafanya kazi yake mchana kweupe ndani ya serikali.
TAYADI nikuombe kitu kimoja tu; jadili hoja na wala usinihusishe na chochote usichokuwa na uhakika nacho.
Hazijaungana kilichobadilika ni jina tu kuondoa TANGANYIKA.Angalia msijemkawa mnatukana baba wa taifa aliyeunganisha nchi mbili hizi! Ohoo, Mwalimu Nyerere ndiye aliyeunganisha hizi nchi mbili na kwa wakati huo population ya ZNZ ilikuwa ndogo zaidi kuliko ilivyo sasa!
Muungano haukufanywa kwa kuangalia idadi ya watu bali hadhi ya nchi zilizounda muungano.