Uchimbaji wa kisima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchimbaji wa kisima

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Speaker, Aug 10, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Habari zenu wakuu,...
  Ninataka kuanza biashara ya kuku mwakani,possibly mwezi wa pili.
  Location ni mkuranga (pwani) ila ni porini sana na upatikanaji wa maji
  kule ni sifuri,....
  Ningependa kujua gharama za uchimbaji wa kisima (kama kuna bei rahisi na ubora
  wa kampuni zinazochimba visima) kwani so far
  kwa taarifa nilizopewa na wadau ni kwamba natakiwa kua na sio chini ya 6,000,000/=
  kwa uchimbaji pamoja na pump,....

  Na pia vipi pump,ni vyema nikanunua hapa au kuagiza toka nje ya nchi ni bora zaidi?
  kama ni hapa wapi zinauzwa pump nzuri na zenye nguvu zaidi?

  Nataka kisima ambacho kitaweza kunipa like 200,000 litre za maji kwa siku
  kwani tofauti na ufugaji wa kuku nitakua nalima matunda na mboga mboga pia
  target ya soko ikiwa ni dar kama kawaida.

  Mawazo yenu ni ya muhimu sana
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Kuna topics zishatangulia za kuchimba visima, zitafute.
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Well thanks,atleast kwa kuanzia ungenipa link to the topic pls
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  tumia search button hapo juu. Siwezi weka link maana ni via mobi.
   
 5. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ipo katika Business forum page ya mwanzo tu,Topic ni GHARAMA YA KUTENGENEZA KISIMA DAR,imeanzishwa na Ladyswa
   
Loading...