Uchimbaji dhahabu Buzwagi kukoma Machi 2021?

kabula

New Member
Sep 18, 2009
2
0
Uchimbaji wa dhahabu katika mgodi wa Buzwagi, ulioko Kahama, Shinyanga nchini Tanzania unatarajiwa kufungwa Machi, 2021.

Taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa kufungwa kwa mgodi huo kunafuatia kukosekana kwa kiwango cha dhahabu iliyotatajiwa.

Imeelezwa kuwa kiwango kijachopatikana sasa ni kidogo mno kiasi cha kushindwa hata kupata mapato ya uendeshaji wa shughuli za uchimbaji na mahitaji mengine.

Continue reading: Uchimbaji dhahabu Buzwagi kukoma Machi 2021 - Imevuja!
 
Back
Top Bottom