milionea wa kesho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 328
- 631
leo nilikua kwa rafiki yangu anauza nguo mjini anatembea na ndulele mfukoni anasema inamsaidia sana. wakuu kunaweza kuwa na ukweli wowote kwenye jambo hili?
Ingemsaidia asingetembea angefungua duka... Kinachomsaidia ni imanileo nilikua kwa rafiki yangu anauza nguo mjini anatembea na ndulele mfukoni anasema inamsaidia sana. wakuu kunaweza kuwa na ukweli wowote kwenye jambo hili?
Ndugu zangu acheni ubishi. Uchawi Upo !!!
Watu wanalinda biashara zao kichawi ili zifanikiwe.
Uchawi unatumika kwenye ulinzi.
Watu wachoyo machimbo yao hawakuambii. I Wish I Knew One Aisee.
Nipe konection mkuu Mana wewe ni mfanyabiashara mkubwa!..au nikuulize..wewe unatumiwa uchawi na umekusaidia?
Sikia all i know huwezi tusua kwenye hili game EVER kama huna nguvu flan ya ziada. NEVER EVER !!
In most cases ukiona biashara flan ya mtu ina wateja sana unakuta ukiachana na kuwa na sound reasonable business plan. Watu wanazibiti biashara zao kichawi...(in the unseen world)
Unakuta mtu kaweka wadudu pale (ambao baada ya muda anawalisha kulingana na makubaliano/vigezo vyao) hivyo vitu unakuta vina prevent nuksi, gundu, uchawi, husda et al. Na ndio maana biashara flan ya mtu ina flow uninterruptedly.
Trust me Success is the biggest Motivator even if its small success. Hata ukifungua duka / glossary likiwa linafanya vizuri it motivates you to expand ur territory.
To the topic..vipo vitu vyenye mikataba michafu (Sihitaji hivi cz havimpendezi Mungu) na mizuri (after all mwadamu kapewa uwezo wa kutawala na kumiliki kila kitu duniani. Read the scriptures). Sasa kama naweza tumia vitu na kuvifanya vinifanyie kazi bila ya kudhuru watu au cha mtu ubaya upo wapi ??
NB: Lol Jamani mi sijui chimbo lolote wala mi sio mganga / mchawi mwenyewe natafuta chimbo lenye mikataba misafi. Kwa anaye jua naomba tucheckiane inbox. Watu tume hustle na ku suffer sana...Wakuda wana tu lostisha. FAKEN SANA !!
Watu wengi wanasoma na kusikia vitu ila hawavielewi in such.
Sikia all i know huwezi tusua kwenye hili game EVER kama huna nguvu fulan ya ziada. NEVER EVER !!
In most cases ukiona biashara fulan ya mtu ina wateja sana unakuta ukiachana na kuwa na sound reasonable business plan. Watu wanadhibiti biashara zao kichawi...(in the unseen world)
Unakuta mtu kaweka wadudu pale (ambao baada ya muda anawalisha kulingana na makubaliano/vigezo vyao) hivyo vitu unakuta vina prevent nuksi, gundu, uchawi, husda et al. Na ndio maana biashara fulan ya mtu ina flow uninterruptedly.
Trust me Success is the biggest Motivator even if its small success. Hata ukifungua duka / glossary likiwa linafanya vizuri it motivates you to expand your territory.
To the topic... vipo vitu vyenye mikataba michafu (Sihitaji hivi cz havimpendezi Mungu) na mizuri (after all mwadamu kapewa uwezo wa kutawala na kumiliki kila kitu duniani. Read the scriptures). Sasa kama naweza tumia vitu na kuvifanya vinifanyie kazi bila ya kudhuru watu au cha mtu ubaya upo wapi ??
NB: Lol Jamani mimi sijui chimbo lolote wala mi sio mganga / mchawi mwenyewe natafuta chimbo lenye mikataba misafi. Kwa anaye jua naomba tucheckiane inbox. Watu tume hustle na ku suffer sana... Wakuda wana tu lostisha!!
Watu wengi wanasoma na kusikia vitu ila hawavielewi in such.
Mkuu ukiamini uchawi hutoendelea kamwe.
Fanya kazi kwa bidii,
Angalia kama biashara yako ipo kwenye mzunguko wa watu, lugha yako ya kibiashara, usafi kwenye biashara
Muombe Mungu,
ombea biashara yako,
tolea sadaka biashara yako yaani Mungu aweke ulinzi katika hiyo biashara
UTAFANIKIWA. Mtangulize Mungu kwa kila jambo kila kitu kinawezekana chini ya jua.
ASILIMIA KUBWA YA WATU MOYONI NI WACHAWI MACHONI NI WAUMINI.FANYA UTAFITI UTAONA