Uchawi wa ndulele kwenye biashara

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
328
631
leo nilikua kwa rafiki yangu anauza nguo mjini anatembea na ndulele mfukoni anasema inamsaidia sana. wakuu kunaweza kuwa na ukweli wowote kwenye jambo hili?
1592488564320.png

1592488734015.png
 
Hahaa, nimekumbuka kuna lijamaa flani lilitaka kunitapeli, sasa wakati linaongea na mimi likawa linanisogelea likaniwekea ndulele mfukoni! Kililia kibao kimoja tu, mtu akajamba...
Yaani nimeona huu uzi, nikakumbuka nimecheka sana...!
 
Ndugu zangu acheni ubishi. Uchawi Upo !!!

Watu wanalinda biashara zao kichawi ili zifanikiwe.

Uchawi unatumika kwenye ulinzi.

Watu wachoyo machimbo yao hawakuambii. I Wish I Knew One Aisee.

Nipe konection mkuu Mana wewe ni mfanyabiashara mkubwa!..au nikuulize..wewe unatumiwa uchawi na umekusaidia?
 
Nipe konection mkuu Mana wewe ni mfanyabiashara mkubwa!..au nikuulize..wewe unatumiwa uchawi na umekusaidia?

Sikia all i know huwezi tusua kwenye hili game EVER kama huna nguvu flan ya ziada. NEVER EVER !!

In most cases ukiona biashara flan ya mtu ina wateja sana unakuta ukiachana na kuwa na sound reasonable business plan. Watu wanazibiti biashara zao kichawi...(in the unseen world)

Unakuta mtu kaweka wadudu pale (ambao baada ya muda anawalisha kulingana na makubaliano/vigezo vyao) hivyo vitu unakuta vina prevent nuksi, gundu, uchawi, husda et al. Na ndio maana biashara flan ya mtu ina flow uninterruptedly.

Trust me Success is the biggest Motivator even if its small success. Hata ukifungua duka / glossary likiwa linafanya vizuri it motivates you to expand ur territory.

To the topic..vipo vitu vyenye mikataba michafu (Sihitaji hivi cz havimpendezi Mungu) na mizuri (after all mwadamu kapewa uwezo wa kutawala na kumiliki kila kitu duniani. Read the scriptures). Sasa kama naweza tumia vitu na kuvifanya vinifanyie kazi bila ya kudhuru watu au cha mtu ubaya upo wapi ??

NB: Lol Jamani mi sijui chimbo lolote wala mi sio mganga / mchawi mwenyewe natafuta chimbo lenye mikataba misafi. Kwa anaye jua naomba tucheckiane inbox. Watu tume hustle na ku suffer sana...Wakuda wana tu lostisha. FAKEN SANA !!

Watu wengi wanasoma na kusikia vitu ila hawavielewi in such.
 
Aisee! .😃😃😃🙌🙌🙌🤸🤸🤸
 
Sikia all i know huwezi tusua kwenye hili game EVER kama huna nguvu fulan ya ziada. NEVER EVER !!

In most cases ukiona biashara fulan ya mtu ina wateja sana unakuta ukiachana na kuwa na sound reasonable business plan. Watu wanadhibiti biashara zao kichawi...(in the unseen world)

Unakuta mtu kaweka wadudu pale (ambao baada ya muda anawalisha kulingana na makubaliano/vigezo vyao) hivyo vitu unakuta vina prevent nuksi, gundu, uchawi, husda et al. Na ndio maana biashara fulan ya mtu ina flow uninterruptedly.

Trust me Success is the biggest Motivator even if its small success. Hata ukifungua duka / glossary likiwa linafanya vizuri it motivates you to expand your territory.

To the topic... vipo vitu vyenye mikataba michafu (Sihitaji hivi cz havimpendezi Mungu) na mizuri (after all mwadamu kapewa uwezo wa kutawala na kumiliki kila kitu duniani. Read the scriptures). Sasa kama naweza tumia vitu na kuvifanya vinifanyie kazi bila ya kudhuru watu au cha mtu ubaya upo wapi ??

NB: Lol Jamani mimi sijui chimbo lolote wala mi sio mganga / mchawi mwenyewe natafuta chimbo lenye mikataba misafi. Kwa anaye jua naomba tucheckiane inbox. Watu tume hustle na ku suffer sana... Wakuda wana tu lostisha!!

Watu wengi wanasoma na kusikia vitu ila hawavielewi in such.

Mkuu ukiamini uchawi hutoendelea kamwe.
Fanya kazi kwa bidii,
Angalia kama biashara yako ipo kwenye mzunguko wa watu, lugha yako ya kibiashara, usafi kwenye biashara
Muombe Mungu,
ombea biashara yako,
tolea sadaka biashara yako yaani Mungu aweke ulinzi katika hiyo biashara

UTAFANIKIWA. Mtangulize Mungu kwa kila jambo kila kitu kinawezekana chini ya jua.
 
Kumjua na Kumcha Mungu ni Chanzo Cha Maarifa.

Nikutakie Utaftaji Mwema.

Fatilia Ki undani Habari Za Mfalme / Nabii Suleiman. Umuelewe na Kumfaham Vizuri.

Mamlaka Zote Tumepewa Ni Kuzitumia Tu.

Nakaa Nawaza

Anayetumia Punda Kubeba Mizigo Yake Ya Biashara na Anayetumia Farasi Kumrahisishia Adha ya Usafiri na Anayetumia Mdudu Kumlindia Biashara / Utaftaji Wake wana Tofauti gani ilhali chakula kinachotumika kulishia viumbe hivyo si HARAM ?? Au havitumiki for selfish devilish reasons.

THINK !!!

And YES, Kutolea Sadaka Biashara Yako Kwenye Nyumba Za Ibada ni Mandatory. I know That.
 
ASILIMIA KUBWA YA WATU MOYONI NI WACHAWI MACHONI NI WAUMINI.FANYA UTAFITI UTAONA
 
Hizo ndulele zinatusaidia sana huku Usambaani kujikinga dhidi ya ZONGO. Hakika hiyo ni kinga madhubuti dhidi ya uchawi hasa ule mdogo mdogo. Ukiiweka mfukoni hiyo, wewe dunda tu mtaani! Hakuna atakaye kubabaisha.
 
Hizi vitu tumechezea utotoni kwma ng'ombe,unachuma nyingi unajaza zizini kwako,ile michezo ya kitoto,
Sikujua kumbe hili tunda lina maajabu yake,,nilikokulia yalikuwa yanajiotea tu mengi kila kona,,
Nashangaa yamekuwa adimu siyaoni tena,
Ila biashara ni plan,sio ndulele.
Screenshot_20200601-143134~2.png
 
Back
Top Bottom