gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
wee ngabu weeHakuna uchawi wewe.
Kama upo na kama unamjua mchawi yeyote yule, mwambie aniroge.
Mwenzio gfsonwin alijaribu akachemsha akaishia kula kona.
Na hii ofa ni kwa wachawi wote waliopo JF.
Nirogeni mnithibitishie kuwa kweli uchawi upo na si longolongo tu.
sikula kona il ya nini kumkosea muumba wangu?
kama huamini ngoja utayaona