Naomba nishuhudie kitu hapa....
Nilikua na uhusiano na mdada fulani ambae nilimjua kwao vyema tu...ni msomi wa chuo kikuu vizuri tu.
Kwao niliwahi kusikia mama yake ana kashfa ya uchawi.mapenzi ni upofu!!nikapofushwa....
Tukaenda weee mwishowe wakati wa kufanya maamuz nikaamua niachane nae..kupitia maono nikapata mwingine na nikafunga ndoa.
Maisha ya ndoa hayakuanza vizuri.bahati tu nilikua na mwanamke mvumilivu na mwelewa..wakat wa uchumba na uyu mke wangu tendo la ndoa nililifanya kwa usahihi mkubwa na ukamilifu wa haja,baada tu ya ndoa honeymoon nilichoka....
Jogoo alikua ni wa kusukuma kama sio wa kupakia kabisa kama kiroba na still anakua mzigo...kiufupi nilikua nikianza tu kumlala mke wangu uume unasinyaa kabisa kabisa...lakini cha ajabu nilijaribu ya mchangani...gemu safi!!!
Nikagundua ex wangu alikua anaulizia sana habari zangu hasa za ndani kwa ndugu na jamaa aliowafahamu...kiasi ambacho ilinitisha kwamba huenda anafahamu hali aliyonisababishia......
Niliteseka miez minne hardly bila stiff erection kwa mke wangu mpya.....nilijipanga.ckwenda kwa mganga..nikapigwa maombi ya maana na kwa imani yangu NIKAPONYWA...ASANTE MUNGU.ASANTE YESU KWA KUNIRUDISHIA UANAUME WANGU..MWANAMKE YULE ASHINDWE KTK JINA LA YESU POPOTE PALE ALIPO...NAMKEMEA KUWA NI PEPO NA AKAFIE MBALI HUKO...NINA DAMU YA YESU HUNA NAFASI TENA KTK AFYA YANGU,UCHUMI WANGU NA VYOTE VILE...NIMEBADILI SIMU,MKOA,FACEBOOK,WASSAP,INSTAGRAM,TWEETER JUST TO BE FAR AWAY......THANK YOU JESUS