Uchawi upo, usidanganywe

mkuu nimechukua namba yako nitakutafuta ndugu
 

Tuelezee hayo majini yalikuwa yanakuja kwa style gani na yalikusumbuaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 12 iliyopita nimewahi Fanya Kazi za ulinzi kwenye depoti moja ya mafuta kurasini ilikuwa na nyumba za staff zisizokaliwa na watu,Kazi ya ulinzi ni ya kukaa nje nilikuwa nikikaa nje kwenye baraza la nyumba moja angalau kujikinga baridi usiku tulivu unaweza hisi hali isiyoya kawaida mfano kusisimka mwili,au kushikwa na ganzi kama kitu kinakukandamiza au kuona kivuli na sauti kama upepo hivi kitu kinaingia au kutoka ndani kwa kasi kidogo,nilikuwa nakemea kwa kujiamini na kutokuogopa ndani ya sekunde kadhaa nguvu zinaniijia na ile hali ya kushindana na kukandamizwa inachilia na kupotea kabisa.Miaka 6 iliyopita nimewahi panga nyumba moja mpangaji hakuwa ametoa vitu vyake usiku nililalia kitandana chake,kufika usiku tulivu nilijikuta nimevurushwa hadi sebuleni bila kupenda nikalala sebuleni Asubui yake nikarudi chumbani kukagua nikakuta chumba ndogo ya Dawa ufunguni,nikavitoa vitu vyote,nikasafisha nyumba nzima darini nikamwaga mifupa ya pork,maji ya chumvi kila sehemu kila angle nikakemea,toka siku hio nikawa Salama. Nimewahi mkosa ngumi mchawi mmoja nililala nikahisi kitu kinafunua neti nikarusha ngumi kwa kasi sana kikawahi kukimbia sikufanikiwa kukipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mwisho ndiyo lengo lako

 
Sasa hao wasiojiamini wanarogekaje ilhali umesema hakuna uchawi mkuu?
 
Siamini uchawi upo na sitokaa niamini katika maisha yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…