Kwahiyo we ngosha unabisha kuwa hakuna michongo kupaa kwa ungo na ulozi hufanyika huko Gamboshi, au kwakuwa umekaa US kwa muda umejisahaulisha hii mambo ambayo ni common huko udukumani?
Vitabu vyote vya dini vinatambua uwepo wa uchawi we ni nani ukatae hakuna uchawi?