Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,883
Mimi sio mchawi na mwangaMi naona kama wewe ndo mchawi iv..
Nashukuru!Mtoa mada, ukichaa unakuzidi!
[emoji23][emoji119] life purpose yako wewe ni ipi??Shida hujui purposes ya ww kuweko duniani, laiti ukija kujua huta kuwa na akili na maono uliyonayo sasa. Cha maana saiz nikupe Pole tu.
Hahahaha hehehhehhe hohohoNi maskini duniani ila kwa Yehova sisi ni matajiri.
Hazina zetu tunaweka mbinguni huko mchwa, nondo hawawezi kiziharibu. Hata wezi hawawezi kutuibia...
Kanuni na viwango vyake vipo kutulinda.Hahahaha hehehhehhe hohoho
Yehova[emoji23]
Una uhakika gani kama utamkuta Mungu huko mbinguni, kuna mtu amewai kurudi akakuambia??
Toa fact acha utoto
Hujapungukiwa kitu sawa.Kanuni na viwango vyake vipo kutulinda.
Hata tusipomkuta bado hatutokuwa tumepungukiwa na chochote.
Naunga mkono hojaMi naona kama wewe ndo mchawi iv..
Amekushikia fimbo umuamin au amekulazimisha umuaminiHivi Mungu mwenye huruma, mpole mkaribu mwenye kusamehe.
Ndio huyu huyu anaewapa watu maradhi makubwa ya kutisha na ulemavu wa kudumu binadamu wake?
Amekuwa katiri kiasi kwamba haoni shida watu kufa kwa njaaa maradhi na mateso makubwa hapa duniani?
Mungu huyu huyu ndio husababisha ajali kubwa kuuwa watu na kuwaacha wakiteseka?
Mungu huyu huyu ndio anawapa pesa mashoga washirikina na wachawi alafu wachamungu wanaishi kama paka?
Mungu huyu huyu ndio hutoa umasikini wa kudumu kwa watu?
Mungu aliefanya yote hayo ndio anakupenda na wewe?
Wengine hawapendi?
Uchawi upo utumie vizuri baadae rudi kwa Mungu
Jifunze kuishi kwa technique.
Kosoeni masikini wanaomtegemea Mungu kuwa matajiri wakati wapo masikini wa kudumu wenye kudumu na ibada ila wanaishi mpaka aibu.
Nina unga mkono hojaWatu wanaishi kichawi, utakuta mtu anapasua sana Sala kumbe "bonge la mchawi na mshirikina". Anaejua maisha ni mchezo ataishi vizuri hapa duniani. Hao waliokufa huko Kenya hawajui maisha ni mchezo, walidanganywa kuna Mbinguni na wakakubali tu kizuzu.
Yeah yeah bro factsuala la Mungu linatuKomfyuzi sana ukicheki maafa yanayotokea yanasomba adi vitoto vichanga kwa maumivu makali, wazee wasio na nguvu adi mifugo adi unajiuliza kama yupo si angesimamia aya ameshindwa nini.
ALL IN ALL INABIDI TU TUAMINI UWEPO WAKE MAANA UKITAZAMA MAMBO YA UUMBAJI WA VITU NA WATU BASI INATUBID TU TUAMINI KILAZIMA ATA KAMA UWA HAJITOKEZI WAKATI WA MAAFA, AMEN.
We unatka nini kwaniAmekushikia fimbo umuamin au amekulazimisha umuamini