Uchawi njia saba

Uchawi njia saba

Mkuu nakubaliana kabisa na wewe haswa katika kifungu cha mwisho, Mara nyingi wanadamu tupatapo changamoto za kiafya tunashindwa kujua kuwa kuna mawili, inawezekana kuwa ni ugonjwa wa kibaologia ambao unatibika kitabibu, au inawezekana kuwa ni ugonjwa wenye chanzo cha kiroho. Sasa wengi wameshindwa kuweza ku identify upi ni upi.

kwa mfano kilema kilichosababishwa kwa nguvu za giza haijalishi kipo katika hali gani kinafunguka kwa maombi, lakini kilema cha kibaologia inakuwa ngumu ( Japokuwa Mungu anaweza fanya miujiza yake ikawezekana).

Mara nyingi imekuwa ni nguvu kuweza kujua ugonjwa mtu alionao ni wa kibaologia au ni kiroho, na wengine kutokana na mazingira wamekuwa wakikimbilia kwenye matibabu ya kiroho kisha kukwama na kudai kuwa hakuna matibabu ya kiroho, kama nilivyo sema awali matatizo ya kibaologia yanatatuliwa kitabibu na ya kiroho yanatatuliwa kiroho tu, ni vigumu sana na mara chache sana kuweza kuingiliana.

mshana jr
Shida kubwa iliyopo ni hiyo kuwa misinformed ama kuwa misleaded, na watu wengi hapa wameumizwa na kupigwa parefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
maxresdefault-1.jpg
 
Mkuu Mshana Jr naomba kujua tofauti ya majini, mapepo na mizimu.
Majini ni viumbe roho vilivyoumbwa kwa moto
Mapepo ni roho zilizoacha mwili kaburini na kutangatanga huku na kule
Mizimu haina tofauti sana na mapepo, japo mizimu ni roho za watu walioishi kabla kwa maagano fulani hivyo wanapokufa huacha maagizo ya kufuatwa na waliobaki... Hivyo roho yake hugeuka mzimu ili kufuatilia maagizo husika
 
Gamboshi
 
Bila kujali unatumika kudhuru ama kuagua huu ndio uchawi ushirikina njia saba
1.mitishamba
2.mazao ya mwili
3.mazao bahari
4.majini
5. Mapepo
6. Kafara la damu
7. Matambiko ya mizimu

Rank za wachawi na waganga wa kienyeji zinategemea unatumia uchawi njia ngapi, mchawi njia moja ni mdogo mbele ya mchawi njia mbili na kuendelea...

Top na kiboko yao ni yule anayetumia uchawi njia saba yani huyu ni universal kama ni kwenye elimu ya dunia ni PhD holder na wako wachache mno
Tatizo linakuja kwa hawa waganga wetu unakuta yeye ni mahiri kwenye fani moja tu ama mbili lakini anakuja mtu mwenye tatizo nje ya fani yake...

Asipokubali kujishusha huishia kuumbuka vibaya na kuonekana tapeli ama mwongo.

Tuna matatizo ambayo sometimes suluhu yake ni huku ulimwengu wa giza, lakini ndugu zetu hawa kwa ujuha wao huwa wanajifanya kuweza kutatua lakini mwishowe hushindwa na kuishia kuleta blah blah... Sababu ni moja tu nayo ni ile hulka ya asili ya mwanadamu kutaka kujikweza bila kuwa na uwezo

Sent using Jamii Forums mobile app
@Mshsna jr ndiye mtu wa kwanza kumjua hapa jamii forums, ndiye mtu wa kwanza kusoma uzi wake na ndo mtu ananivutia zaid, kila uzi wake lazima nisome.
Nilishatafuta namba yake muda mref nikakosa, nikamfatilia kweny social networks nying nikawa simpati, siku 1 (kabla cjawa member humu jf) katika kusoma soma nikakutana na jamaa anaomba namba yake, bas nikatumia nafas hyo kupata namba yake, bahat mbaya hakuwah kunijib text..niliumia kias lkn nikasema kuna siku nitafanikiwa kuwa na mawasiliano nae.
Ndomaana nmekuwa nakutag mara kadhaa ndugu Mshana Jr.

Napenda busara zako, majib yako, history yako(south Africa) na masomo yako/Threads
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] asante sana lutoki lakini mimi huwa sipuuzii wito wowote... Pengine unakosea kuni tag ndio maana sipati tag notifications zako ngoja niingie kwenye nyuzi zako nicheki direct.... Kuhusu mawasiliano njoo PM... Kwenye social medias nyingine huwezi kunipata kwakuwa sina ushabiki nazo
 
Asante sana mkuu, hii kwangu ni siku kubwa niliyokuwa naisubiria toka 2016
 
Back
Top Bottom