kanjuki
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 209
- 95
Ila mizimu inanguvu zaidi mshana tusaidie kwa hilimajini ni habari nyingine mkuu
yap kuna sehemu majini yana limit mfano wachawi huwa wanakuja na mifupa ya nguruwe na mafuta wanazungushia. majini wanashindwa toboa ila mizimu inatoboa na kupambana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Wewe hapo una PhD tayari au bado uko na ile Masters yako ya south Afrika?
Hili ni kweli kabisamkuu kuna wakati kama majini wamekupa kinga wewe kwa kuhangaika ukaenda kwa fundi mwingine huwa wanachukia na kuziondoa na wanaweza kukurudishia matatizo yako
Mmh wala sifahamu[emoji15] [emoji144] [emoji2] imeanza lini? Tumefika wapi?Hivi mshana unafahamu tuko safarini kuelekea nchi ya ahadi yenye viwanda weye?! Maana kila siku uchawi na ulozi!
Hivi kaka mshana kuna mtu umempa simu yako akujibie au [emoji32][emoji32]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kwai umbujeHivi kaka mshana kuna mtu umempa simu yako akujibie au [emoji32][emoji32]
Nahisi lipo namba saba maana hiyo saba ni pana.Hizo njia 7 ni kweli zinatumika, naongeza moja ya mdomo/ maneno ni uchawi pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwa majibu haya kaka angu naona ulijua kabisa utakavyoulizwa bada ya kuanzisha thread ukagawa simu nawaza tu hapa mie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si kwa majibu haya kaka angu naona ulijua kabisa utakavyoulizwa bada ya kuanzisha thread ukagawa simu nawaza tu hapa mie
Sawa mkuu wanguUkipata muda mkuu naomba utiririke kuhusu historia ya VOODOO maana nasikia hata kanisa Katoliki walikubali mila hiyo kwa ule mpango wa UTAMADUNISHO
Haimaanishi hayapo kwakuwa wewe huaminiAya mambo sijawai kuyaamini kabsa!
Mkuu nakubaliana kabisa na wewe haswa katika kifungu cha mwisho, Mara nyingi wanadamu tupatapo changamoto za kiafya tunashindwa kujua kuwa kuna mawili, inawezekana kuwa ni ugonjwa wa kibaologia ambao unatibika kitabibu, au inawezekana kuwa ni ugonjwa wenye chanzo cha kiroho. Sasa wengi wameshindwa kuweza ku identify upi ni upi.Bila kujali unatumika kudhuru ama kuagua huu ndio uchawi ushirikina njia saba
1.mitishamba
2.mazao ya mwili
3.mazao bahari
4.majini
5. Mapepo
6. Kafara la damu
7. Matambiko ya mizimu
Rank za wachawi na waganga wa kienyeji zinategemea unatumia uchawi njia ngapi, mchawi njia moja ni mdogo mbele ya mchawi njia mbili na kuendelea...
Top na kiboko yao ni yule anayetumia uchawi njia saba yani huyu ni universal kama ni kwenye elimu ya dunia ni PhD holder na wako wachache mno
Tatizo linakuja kwa hawa waganga wetu unakuta yeye ni mahiri kwenye fani moja tu ama mbili lakini anakuja mtu mwenye tatizo nje ya fani yake...
Asipokubali kujishusha huishia kuumbuka vibaya na kuonekana tapeli ama mwongo.
Tuna matatizo ambayo sometimes suluhu yake ni huku ulimwengu wa giza, lakini ndugu zetu hawa kwa ujuha wao huwa wanajifanya kuweza kutatua lakini mwishowe hushindwa na kuishia kuleta blah blah... Sababu ni moja tu nayo ni ile hulka ya asili ya mwanadamu kutaka kujikweza bila kuwa na uwezo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji134] [emoji134]