Uchawi njia saba

Uchawi njia saba

Hivi Mshana kuna Siri gani Kati ya majini na nguruwe?
 
beliefs-witchcraft.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kujali unatumika kudhuru ama kuagua huu ndio uchawi ushirikina njia saba
1.mitishamba
2.mazao ya mwili
3.mazao bahari
4.majini
5. Mapepo
6. Kafara la damu
7. Matambiko ya mizimu

Rank za wachawi na waganga wa kienyeji zinategemea unatumia uchawi njia ngapi, mchawi njia moja ni mdogo mbele ya mchawi njia mbili na kuendelea...

Top na kiboko yao ni yule anayetumia uchawi njia saba yani huyu ni universal kama ni kwenye elimu ya dunia ni PhD holder na wako wachache mno
Tatizo linakuja kwa hawa waganga wetu unakuta yeye ni mahiri kwenye fani moja tu ama mbili lakini anakuja mtu mwenye tatizo nje ya fani yake...

Asipokubali kujishusha huishia kuumbuka vibaya na kuonekana tapeli ama mwongo.

Tuna matatizo ambayo sometimes suluhu yake ni huku ulimwengu wa giza, lakini ndugu zetu hawa kwa ujuha wao huwa wanajifanya kuweza kutatua lakini mwishowe hushindwa na kuishia kuleta blah blah... Sababu ni moja tu nayo ni ile hulka ya asili ya mwanadamu kutaka kujikweza bila kuwa na uwezo

Sent using Jamii Forums mobile app


Wewe hapo una PhD tayari au bado uko na ile Masters yako ya south Afrika?
 
Kaka hao wote cha mtoto.kwa maalim kisisina.
Yule mtu alikuwa kiboko.
Alifatwa na malaika jibril akiwa katika umbo la binadamu.
Malaika akamuuliza niambie kwa sasa jibril yupo wapi.
Maalim kisisina akafungua kitabu chake akasoma akamjibu jibril,kwamba kama si mimi ninae soma hichi kitabu basi ni wewe uliyesimama mbele yangu ndo jibril.
Malaika mwenyewe alishangaa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mshana unafahamu tuko safarini kuelekea nchi ya ahadi yenye viwanda weye?! Maana kila siku uchawi na ulozi!
 
Back
Top Bottom