Kessy Wa Kilimanjaro
JF-Expert Member
- Jan 23, 2016
- 327
- 208
Ukweli ni kwamba akili ni uhuru kutoka kwenye vifungo vya ujinga na imani za uongo.
Nilikuwa nikisikia hadithi nyingi utotoni kuhusu wanga na majini na wachawi wengi tu. Kama umekulia movie za wa Nigeria, unajua jinsi hizi filamu zinavyo endekeza hizi imani. Hata mitandao ya habari ya nchi za nje zinaandika kuhusu Wafrika na tunavyong'ang'ania kwa nguvu hizi imani. Ambacho kimenilazimisha niandike kuhusu hili swala ni kwamba hizi imani zinapo tupeleka na matendo wanayo tenda hawa watu wenye hizi imani.
Ukiangalia nchi zinazo amini uchawi na kung'ang'ania dini za wakoloni wao utaona kwamba hawa watu wakipimwa IQ katika kiwango cha kimataifa hizi nchi ndiyo ziko chini kabisa, yani za mwisho.
Countries Ranked by Average IQ | Statistic Brain
7 Countries That Still Kill Accused Witches | Care2 Causes
Belief in Witchcraft Widespread in Africa.
Ukisoma hiyo article ukaangalia nchi zinazo fanya matendo haya ya utaona Saudi Arabia, Tanzania, Gambia, Nepal, India, Papua New Guinea, Uganda and the rest unakuta kwamba hizi inchi IQ zao zinaanzia kwenye average ya 65 ambayo ni ya kichaa basically na hazizidi 85 ambayo ni ya average African american.
Ukisoma kuhusu IQ utajua kwamba chechote chini ya 70 ni kichaa au "retarded" na nchi zilizo endelea sana sana wa Asia mashariki au Oriental Asians kama Hong Kong unakuta kwamba IQ zao average ni 116 which is exceptional au ni nzuri sana kwa average.
Hata Scandinavian countries IQ zao zinaanzia kwenye 90's zinaenda juu kiaverage. Na unachoona kwenye hizi inchi zenye IQ kubwa zaidi ni kwamba hausikii wakiwakamataa wazee na kuwachoma moto kisa wanafikiri ni wachawi. Husikii raisi wao akisema ametumia uchawi kushinda uchaguzi akati kila mtu anajua ameiba kura. Hausiki wakisema wanaamini miungu ambayo hawajawai kuiona. Husikii kwamba wanauwa watoto ambao hata hawawezi kujitetea kisa uchawi. Ambacho unaona ni maendeleo ya kidemokrasia, Technologia na ya kiPhilosophia.
Mtu yeyote anayetumia akili anaweza kukwambia kwamba kabla ya kumuhukumu mtu lazima utowe ushuhuda wa kisayansi kwamba huyo mtu ni kweli ana kosa. Unachokuta kwenye kesi hizi za uchawi na kusingizia watu ni kwamba hamna ushuhuda, wala evidence yeyote. Ni neno la mtu kupambana na neno la muhukumiwa. Mahakam yeyote duniani inaweza kukwambia kwamba hiyo ni upuuzi kumuhukumu mtu bila ushuhuda.
Mambo mengi ambayo watu wazamani kwenye jamii za magharibi hawakuweza kuyajibu walihisi ni uchawi au miungu. Mambo hayo leo yame fafanuliwa na sayansi kwamba siyo uchawi lakini ni physics au chemistry au biology inayo yasababisha. Lakini unakuta kwamba kwenye nchi nilizo taja kwamba hamna maendeleo kwenye hizo sekta au watu wanaamua kuziona hizo sekta kama masomo tu ambayo hayaitajiki kwenye kutafuta ukweli kwenye maswala ya uchawi.
Chanzo cha huu ujinga ni kutokana na isolation of certain races au kwa kiswahili utengano wa vikundi na jamii za watu. Huu mtengano unatokana na watu kuwa wakiishi kwenye mazingira ambayo ni magumu kusafiri na wakiwa hawakutani na watu wengine wenye fikira nyingine za kupanuwa akili zao.
Pia unakuta watu wakiwa wanaishi kwenye utengano na vikundi vyao wanaowana wenyewe kwa wenyewe, tabia ambayo inahusiana na watoto kuwa na akili ndogo. Ukiongeza imani za wakoloni juu ya hizo akili unakuta kwamba inafanya mambo yawe mabaya zaidi.
Lakini tunacho hitaji kujua ni kwamba ufumbuzi wa hili tatizo lipo. Kama vile unavyoweza kumfundisha mbwa ambaye ana akili ndogo kuliko binadamu, kwamba asinye ndani ya nyumba, pia unaweza kumfundisha binadamu mwenye akili ndogo kujali haki za binadamu mwenzake, na kufikiri kupitia philosophia na hekima. Hekima siyo akili kwasababu akili unazaliwa nayo lakini hekima ni uwezo unaohitaji mazoezi ya kiphilosophia na yakiakili ya kila siku, wazazi wakueleweka na ubishi wa mwanasayansi yani in english its called Skepticism.
Ufumbuzi wa hili tatizo utachukua zaidi ya kizazi kimoja kukamilika. Ufumbuzi huu utatakiwa uanze na wazazi na jamii kutokusambaza hadithi ambazo wao wenyewe hawawezi kushuhudia.
Wazazi watatakiwa kuwasomea watoto vitabu vya wasomi siyo vitabu vya dini, na kuwafundisha kusoma philosophia na sayansi. Walimu watahitaji kufundisha kupitia hekima na siyo nguvu na vitisho. Tutahitaji kuondoa filamu za kiafrika zinazo danganya watu.
Tutahitaji kufafanuwa ukweli wa vyanzo vya mambo ambayo watu wanafikiri yametokana na uchawi wakati sayansi inaweza kuyafumbua.
Na kumalizia nahitaji kusema kwamba tunahitaji kukubali ukweli kwamba hizi dini na imani zimetokana na watu kutokuwa na hekima na zinatuzuwia kuendelea kama nchi huku Africa.