UCHAWI na SUMBAWANGA

Chele2

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
102
Reaction score
5
Hivi ni mambo gani yanayoifanya sumbawanga kuwa wilaya inayoonekana kuwa na uchawi kwa kiwango cha juu? vip TANGA,BAGAMOYO na KIGOMA?
 
Ni historia tu sidhani kama kuna zaidi ya yale yanayoonekana bagamoyo,tanga,mtwara,mbeya na kwingineko tanzania hii,hapo kale walionekana wenyeji wa huko sumbawanga kuhusudu sana mambo ya jadi katika maisha yao ya kila siku kama matambiko yaliokithili na nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…