Uchawi kwenye biashara ya Catering

Uchawi kwenye biashara ya Catering

Mkuu acha kutisha watu. Kila biashara ni ngumu na ina changamoto. Hakuna biashara ya kuingia kichwakichwa, na kila biashara kuna watu wamefanikiwa. Ukiichagua jua umechagua kupambana na changamoto zake. Ukishindwa, inakufa. Ova
 
Usijichanganye kuanzisha biashara ya Catering kichwa kichwa. Wadau wanakupiga zongo bab'kubwa ama Chakula kinachacha ukumbini au hakiivi kabisa. Unapoteza wateja ukijiona. Imetokea mara kadhaa Chakula kinachacha saa ya kupakua mezani
Umeshudhudia au umehadithiwa?
 
Zingatia usafi wakati wa kuandaa na kupika chakula.Wacha kuamini imani za kishirikina.Fanya utafiti yakini wa biashara yako na mahitaji ya wateja wako.
Hamna cha zongo, kongo wala mongo.Ni imani tu za kijinga.
 
Kuna dada huku bagamoyo alianza biashara ya kupika mama ntilie.wateja wakaanza kumsifia chakula chake kizuri.wakaanza kukaa kwake.ahaa
Wenzie wakamfata wakamwambia hakuna kupika chakula kizuri vinginevyo atahama mwenyewe.
 
Back
Top Bottom