I inchaji JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 2,668 Reaction score 5,470 Feb 13, 2025 #1 Dhana ya uchawa inazidi kushika kasi. Ila ajabu ipo tu miongoni mwa Watanganyika. Sikuwahi kusikia Mzanzibari chawa. Karibuni kwa mjadala bila mihemko.
Dhana ya uchawa inazidi kushika kasi. Ila ajabu ipo tu miongoni mwa Watanganyika. Sikuwahi kusikia Mzanzibari chawa. Karibuni kwa mjadala bila mihemko.
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,762 Reaction score 37,392 Feb 13, 2025 #2 Huyu NSSF kazidi kuwa kungunguni
joseph_mbeya JF-Expert Member Joined Nov 20, 2023 Posts 1,123 Reaction score 2,981 Feb 13, 2025 #3 😂😂
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,388 Reaction score 55,080 Feb 13, 2025 #4 inchaji said: Dhana ya uchawa inazidi kushika kasi. Ila ajabu ipo tu miongoni mwa Watanganyika. Sikuwahi kusikia Mzanzibari chawa. Karibuni kwa mjadala bila mihemko. Click to expand... Jamii haitaki kuupiga marufuku huu uchawa
inchaji said: Dhana ya uchawa inazidi kushika kasi. Ila ajabu ipo tu miongoni mwa Watanganyika. Sikuwahi kusikia Mzanzibari chawa. Karibuni kwa mjadala bila mihemko. Click to expand... Jamii haitaki kuupiga marufuku huu uchawa