Uchapakazi wa Rais Samia walinasa na kuliteka kundi la Wasomi na Vijana Wa Vyuo Vikuu. Wapania kumpigia kampeni nyumba kwa nyumba

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,351
Reaction score
23,758
Ndugu zangu Watanzania,

Mambo yanazidi kunoga, mambo yanaendelea kuwa matamu, mambo yanaendelea kuwa motomoto. Rais Samia anaendelea kuteka mioyo ya watu, Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga mioyoni mwa watu, Rais Samia anaendelea kuteka na kukonga mioyo ya watu, Rais Samia anaendelea kujizoleaa umaarufu, Rais Samia anaendelea kuwa kiongozi mwenye ushawishi zaidi hapa Nchini.

Rais Samia anaendelea kuonyesha ya kuwa hana mbadala wake kwa sasa, Rais Samia anaendelea kuwa kipenzi cha watanzania wa makundi yote, Rais Samia anaendelea kuwa tumaini na daraja la matumaini la watu, Rais Samia anaendelea kupata kibali na uungwaji mkono kutoka makundi muhimu. Haijawahi kutokea, haijawahi kushuhudiwa, haijawahi kuonekana kiongozi akapendwa, kuungwa mkono, kuaminika na kuwa na ushawishi kwa makundi yote kama ilivyo kwa Rais Samia.

Kwa sasa kundi kubwa la wasomi na vijana wa vyuo vikuu wanamuunga mkono Rais Samia katika kiwango ambacho hakijawahi kutokea hapa Nchini. Hii ni kwa sababu wasomi hawa wanatambua wazi na kwa ushahidi wa wazi kabisa kuwa ni Rais Samia pekee aliyeinua maisha ya watu na kupunguza Kiwango cha umaskini hapa Nchini.

Wanajua ni Rais Samia aliyeongeza bajeti ya wizara ya kilimo kufikia Trilioni moja na point hali iliyochochea kuongezeka kwa uzalishaji na hivyo kuongeza kipato cha mkulima mmoja mmoja pamoja na kuondoa Umaskini. Wanajua ni Rais Samia aliyetoa na anayeendelea kutoa maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana. Mfano ametoa ajira za walimu zaidi ya Elfu 89 ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Wasomi hawa wanajua ni kwa juhudi za Rais Samia amevutia wawekezaji na watalii kufikia millioni mbili kwa mwaka na hivyo kuongeza mapato pamoja na ajira kwa vijana. Wanajua ameongeza Kiwango cha upatikanaji wa umeme mpaka vitongojini huko na hivyo kuongeza na kufungua shughuli za kiuchumi,wanajua ameongeza mishahara kwa watumishi wa umma na hivyo kuongeza morali kwa watumishi wa umma jambo lililopelekea kuongezeka kwa ufanisi na utolewaji wa hudumu bora.

Wanajua ni Rais Samia aliye kamilisha Bwawa la mwalimu Nyerere,ujenzi wa SGR mpaka Dodoma,ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 300,ujenzi wa shule za sekondari kwa msingi,utolewaji wa Elimu bure hadi kidato cha sita,kuongezeka kwa bajeti ya Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu kufikia Bilioni 784, kuongezeka kwa bajeti ya afya kufikia Trilioni moja point tatu na mengine mengi sana.

Hii ndio sababu ya kuamua kumuunga mkono na kumsemea Rais wetu Mpendwa kwa nguvu zote ,na kuahidi kumpigia kampeni za nyumba kwa nyumba na mtaa kwa mtaa nchi nzima.

Na kwa hakika wasomi wote wanasema Oktoba ni mwendo wa kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM.
Screenshot_20241128-121150_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mambo yanazidi kunoga ,mambo yanaendelea kuwa matamu, mambo yanaendelea kuwa motomoto. Rais Samia anaendelea kuteka mioyo ya watu,Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga mioyoni mwa watu,Rais Samia anaendelea kuteka na kukonga mioyo ya watu, Rais Samia anaendelea kujizoleaa umaarufu,Rais Samia anaendelea kuwa kiongozi mwenye ushawishi zaidi hapa Nchini.

Rais Samia anaendelea kuonyesha ya kuwa hana mbadala wake kwa sasa, Rais Samia anaendelea kuwa kipenzi cha watanzania wa makundi yote,Rais Samia anaendelea tumaini na daraja la matumaini la watu,Rais Samia anaendelea kupata kibali na uungwaji mkono kutoka makundi muhimu. Haijawahi kutokea,haijawahi kushuhudiwa,haijawahi kuonekana kiongozi akapendwa ,kuungwa mkono ,kuaminika na kuwa na ushawishi kwa makundi yote kama ilivyo kwa Rais Samia.

Kwa sasa kundi kubwa la wasomi na vijana wa vyuo vikuu wanamuunga mkono Rais Samia katika kiwango ambacho hakijawahi kutokea hapa Nchini. Hii ni kwa sababu wasomi hawa wanatambua wazi na kwa ushahidi wa wazi kabisa kuwa ni Rais Samia pekee aliyeinua maisha ya watu na kupunguza Kiwango cha umaskini hapa Nchini.

Wanajua ni Rais Samia aliyeongeza bajeti ya wizara ya kilimo kufikia Trilioni moja na point hali iliyochochea kuongezeka kwa uzalishaji na hivyo kuongeza kipato cha mkulima mmoja mmoja pamoja na kuondoa Umaskini. Wanajua ni Rais Samia aliyetoa na anayeendelea kutoa maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana. Mfano ametoa ajira zaidi ya Elfu 89 ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Wasomi hawa wanajua ni kwa juhudi za Rais Samia amevutia wawekezaji na watalii kufikia millioni mbili kwa mwaka na hivyo kuongeza mapato pamoja na ajira kwa vijana. Wanajua ameongeza Kiwango cha upatikanaji wa umeme mpaka vitongojini huko,wanajua ameongeza mishahara kwa watumishi wa umma na hivyo kuongeza morali kwa watumishi wa umma jambo lililopelekea kuongezeka kwa ufanisi na utolewaji wa hudumu bora.

Wanajua ni Rais Samia aliye kamilisha Bwawa la mwalimu Nyerere,ujenzi wa SGR mpaka Dodoma,ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 300,ujenzi wa shule za sekondari kwa msingi,utolewaji wa Elimu bure hadi kidato cha sita,kuongezeka kwa bajeti ya Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu kufikia Bilioni 784, kuongezeka kwa bajeti ya afya kufikia Trilioni moja point tatu na mengine mengi sana.

Hii ndio sababu ya kuamua kumuunga mkono Rais wetu Mpendwa kwa nguvu zote na kuahidi kumpigia kampeni za nyumba kwa nyumba na mtaa kwa mtaa nchi nzima.

Na kwa hakika wasomi wote wanasema Oktoba ni mwendo wa kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM.View attachment 3397654

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Pitia hapo kwanza
 
Attachments

  • 1219915961.jpg
    1219915961.jpg
    383.6 KB · Views: 14
Hawa wasomi wanaopigia kampeni nyumba kwa nyumba, si ndiyo hawa hawa waliokosa ajira hadi kufikia stage ya kuanza kuuza mitumba na kutuma CV inbox?
Vijana wameona na wanaziona juhudi za Mheshimiwa Rais katika kutatua na kumaliza tatizo la ajira hapa Nchini. Kwani kila mwaka ajira zimekuwa zikimwagwa kwa vijana mitaani. Mfano mpaka hivi sasa ziadi ya walimu Elfu 89 wamepata ajira wakati wa Rais Samia
 
Nachopenda kwenye mada za Lucas, ukisoma kichwa cha mada hakuna haja ya kusoma mada husika
 
Acha uropokaji wako na upayukaji kama mlevi wa gongo. Kwani yeye ndiye aliyemuua huyo Mzee?
Majibu ya uchunguzi akiyoyaahidi yako wapi?

Mnaposifia kutokana na ukurutu wa njaa mlionao muwe mnawafikiria na wale waliopoteza ndugu zao kwa utekaji, kuna maisha baada ya huo uchawa wenu.

Wako wapi wapambe wa Jiwe? leo Dotto James ni wa kuwapigia magoti wajumbe wasiomfahamu kweli?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mambo yanazidi kunoga ,mambo yanaendelea kuwa matamu, mambo yanaendelea kuwa motomoto. Rais Samia anaendelea kuteka mioyo ya watu,Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga mioyoni mwa watu,Rais Samia anaendelea kuteka na kukonga mioyo ya watu, Rais Samia anaendelea kujizoleaa umaarufu,Rais Samia anaendelea kuwa kiongozi mwenye ushawishi zaidi hapa Nchini.

Rais Samia anaendelea kuonyesha ya kuwa hana mbadala wake kwa sasa, Rais Samia anaendelea kuwa kipenzi cha watanzania wa makundi yote,Rais Samia anaendelea kuwa tumaini na daraja la matumaini la watu,Rais Samia anaendelea kupata kibali na uungwaji mkono kutoka makundi muhimu. Haijawahi kutokea,haijawahi kushuhudiwa,haijawahi kuonekana kiongozi akapendwa ,kuungwa mkono ,kuaminika na kuwa na ushawishi kwa makundi yote kama ilivyo kwa Rais Samia.

Kwa sasa kundi kubwa la wasomi na vijana wa vyuo vikuu wanamuunga mkono Rais Samia katika kiwango ambacho hakijawahi kutokea hapa Nchini. Hii ni kwa sababu wasomi hawa wanatambua wazi na kwa ushahidi wa wazi kabisa kuwa ni Rais Samia pekee aliyeinua maisha ya watu na kupunguza Kiwango cha umaskini hapa Nchini.

Wanajua ni Rais Samia aliyeongeza bajeti ya wizara ya kilimo kufikia Trilioni moja na point hali iliyochochea kuongezeka kwa uzalishaji na hivyo kuongeza kipato cha mkulima mmoja mmoja pamoja na kuondoa Umaskini. Wanajua ni Rais Samia aliyetoa na anayeendelea kutoa maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana. Mfano ametoa ajira za walimu zaidi ya Elfu 89 ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Wasomi hawa wanajua ni kwa juhudi za Rais Samia amevutia wawekezaji na watalii kufikia millioni mbili kwa mwaka na hivyo kuongeza mapato pamoja na ajira kwa vijana. Wanajua ameongeza Kiwango cha upatikanaji wa umeme mpaka vitongojini huko na hivyo kuongeza na kufungua shughuli za kiuchumi,wanajua ameongeza mishahara kwa watumishi wa umma na hivyo kuongeza morali kwa watumishi wa umma jambo lililopelekea kuongezeka kwa ufanisi na utolewaji wa hudumu bora.

Wanajua ni Rais Samia aliye kamilisha Bwawa la mwalimu Nyerere,ujenzi wa SGR mpaka Dodoma,ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 300,ujenzi wa shule za sekondari kwa msingi,utolewaji wa Elimu bure hadi kidato cha sita,kuongezeka kwa bajeti ya Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu kufikia Bilioni 784, kuongezeka kwa bajeti ya afya kufikia Trilioni moja point tatu na mengine mengi sana.

Hii ndio sababu ya kuamua kumuunga mkono na kumsemea Rais wetu Mpendwa kwa nguvu zote ,na kuahidi kumpigia kampeni za nyumba kwa nyumba na mtaa kwa mtaa nchi nzima.

Na kwa hakika wasomi wote wanasema Oktoba ni mwendo wa kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM.View attachment 3397654

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Mambo yote aliyofanya then kuna kampen ya nyumba kwa nyumba?

Nyumba kwa nyumba wanataka kutuambia nini?

I thought kwa mambo na maendeleo aliyofanya angesave ela za kuwapa vijana for further uses
 
Kama ni pesa kwa vijana zinaendelea kutolewa kila uchao na kuwasaidia vijana kupata mitaji na kuondokana na utegemezi wa kipato
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mambo yanazidi kunoga ,mambo yanaendelea kuwa matamu, mambo yanaendelea kuwa motomoto. Rais Samia anaendelea kuteka mioyo ya watu,Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga mioyoni mwa watu,Rais Samia anaendelea kuteka na kukonga mioyo ya watu, Rais Samia anaendelea kujizoleaa umaarufu,Rais Samia anaendelea kuwa kiongozi mwenye ushawishi zaidi hapa Nchini.

Rais Samia anaendelea kuonyesha ya kuwa hana mbadala wake kwa sasa, Rais Samia anaendelea kuwa kipenzi cha watanzania wa makundi yote,Rais Samia anaendelea kuwa tumaini na daraja la matumaini la watu,Rais Samia anaendelea kupata kibali na uungwaji mkono kutoka makundi muhimu. Haijawahi kutokea,haijawahi kushuhudiwa,haijawahi kuonekana kiongozi akapendwa ,kuungwa mkono ,kuaminika na kuwa na ushawishi kwa makundi yote kama ilivyo kwa Rais Samia.

Kwa sasa kundi kubwa la wasomi na vijana wa vyuo vikuu wanamuunga mkono Rais Samia katika kiwango ambacho hakijawahi kutokea hapa Nchini. Hii ni kwa sababu wasomi hawa wanatambua wazi na kwa ushahidi wa wazi kabisa kuwa ni Rais Samia pekee aliyeinua maisha ya watu na kupunguza Kiwango cha umaskini hapa Nchini.

Wanajua ni Rais Samia aliyeongeza bajeti ya wizara ya kilimo kufikia Trilioni moja na point hali iliyochochea kuongezeka kwa uzalishaji na hivyo kuongeza kipato cha mkulima mmoja mmoja pamoja na kuondoa Umaskini. Wanajua ni Rais Samia aliyetoa na anayeendelea kutoa maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana. Mfano ametoa ajira za walimu zaidi ya Elfu 89 ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Wasomi hawa wanajua ni kwa juhudi za Rais Samia amevutia wawekezaji na watalii kufikia millioni mbili kwa mwaka na hivyo kuongeza mapato pamoja na ajira kwa vijana. Wanajua ameongeza Kiwango cha upatikanaji wa umeme mpaka vitongojini huko na hivyo kuongeza na kufungua shughuli za kiuchumi,wanajua ameongeza mishahara kwa watumishi wa umma na hivyo kuongeza morali kwa watumishi wa umma jambo lililopelekea kuongezeka kwa ufanisi na utolewaji wa hudumu bora.

Wanajua ni Rais Samia aliye kamilisha Bwawa la mwalimu Nyerere,ujenzi wa SGR mpaka Dodoma,ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 300,ujenzi wa shule za sekondari kwa msingi,utolewaji wa Elimu bure hadi kidato cha sita,kuongezeka kwa bajeti ya Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu kufikia Bilioni 784, kuongezeka kwa bajeti ya afya kufikia Trilioni moja point tatu na mengine mengi sana.

Hii ndio sababu ya kuamua kumuunga mkono na kumsemea Rais wetu Mpendwa kwa nguvu zote ,na kuahidi kumpigia kampeni za nyumba kwa nyumba na mtaa kwa mtaa nchi nzima.

Na kwa hakika wasomi wote wanasema Oktoba ni mwendo wa kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM.View attachment 3397654

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Rubbish
 
Back
Top Bottom