Me nafikiri sababu ziko nyingi sana ila kubwa ni urahisi wa kupata huduma nzima ya tendo la ngono, shababi anaona ni bora kupoteza buku 10 kwa usiku mzima amalize haja zake badala ya kua na dem ambaye akua anamkamua pesa za maana kila mara, au kuokoa muda wa kufukuzia dem kwa muda mrefu ili apate ile kitu, na weingine uoga wa kutongoza na wengine tsmaaa yaan hawatosheki na dem mmoja au kupenda vtu tofauti kwa swala moja hilo hilo!
utaishi na mwenzi wako halafu msitofautiane? nyie nguzo au watu? kwa kuwa wako wa ziada na hakuna anae walinda na kuwahakikishia hatima yao..................................... kuna ubaya gani wakitoa kwa faida? Oa wawili, au watatu au wanne, ukishindwa kufanya uadilifu(kutenda haki) baki na mmoja, period! Katika nchi ambayo wanaume wanaoa zaidi ya mmoja, haya mambo yapo? (uchangudoa!)