Jamani sijui serikali inasaidia vipi wananchi wake. Maeneo ya Buguruni na Kinondoni hali ni mbaya nyakati za usiku. Wasichana wadogo wanajiuza - wanagawa uroda - ngono inaendelea bila aibu. Huu ni msiba kwa nchi.
Mkuu HansMaja sasa unataka serikali ifanye nini wakati viongozi hao hao ndio wateja wenyewe? Unataka kuwanyima raha viongozi wako, wataendeshaje nchi bila kuenjoy raha zao? Si unaona wanayo yafanya kule Dodoma wakati wa Bunge?
Hakuna vita ngumu kama ya kupambana na biashara ambayo watoa huduma na wateja wanashirikiana....ukitaka kupambana na watoa huduma basi watakaa chini (watoa huduma na wateja wao) kubuni mbinu za kukwepa vikwazo vitakavyowekwa....
da hii ishu ni ngumu zaidi ya kawaida....jana niliona video moja ya dangulo la wake za watu na mashuga mami tu huko nairobi ni full aibu....wake za watu walio na heshima mtaani ndo wamejaa pale wanajiuza