ila always mimi hii simu siikubali na sishauri kibongo bongo uinunue maana ina build quality ndogo na google wenyewe wanaiuza na ma bumper ya kuprotect.
Inatumia glass kama za iphone kwa nyuma ambazo ni rahisi kuvunjika incase umeikalia au imegandamizwa na kitu kizito.
Pia huo urahisi wa hela ni maeneo machache tu ambayo inapatikana kwa bei hio na maeneo yenywewe ukienda utaambiwa out of stock (mfano google playstore). Maeneo mengine unakutwa inauzwa bei sawa na hizo iphone 5 na galaxy s3.
Hua sku zote google akitoa simu anawafundisha oems namna ya ku utilise software mpya atakayotoa. Ninaposema oems namanisha kampuni kama samsung, lg, htc, sony, huawei na zte ambao wanatengeneza simu za android.
Nexus 4 imetoka ili kuwaonyesha jinsi jelly bean inavoweza kutumika. Na si kusuply kwa watu kama watu wanavyodhani.
Mkuu then badilisha themes ya blog hio haijakaa kitech jaribu kuvisit website kama theverge, engadget, pocketnow, gsmarena, thenextweb na slashgear uone zinavyotakiwa kukaa.