ManiTek TV
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 410
- 159
Uzuri wa Simu hii
+ Bei ni rahisi mno
+ Ina vipimo (specs) vya hali ya juu
+ Imetoka na Toleo jipya na Android - Jelly Bean 4.2
+ Ina chaja isiyo na waya (wireless charging)
+ Ina skrini yenye rizolushani karibu sawa na iPhone 5 (320ppi)
Upungufu wa Nexus 4
- Haipatikani kirahisi (out of stock)
- Haina 4G LTE
Kama lilivyo jina, Nexus 4 simu ya nne katika familia ya Nexus, ni moja kati ya simu inayotolewa na Google kwa ushirikiano na kampuni mbali mbali. Wakati Nexus tatu za mwanzo Google Walishirikia na High Technology Computers (HTC) na Samsung, Nexus 4 imetolewa kwa ushirikiano baina ya Google na Life is Good (LG).
Nexus 4 ni simu ambayo imewashangaza wengi, haikuwashangaza kwa uzuri au ubaya bali kwa bei. 16GB inauzwa £239 (TSh. 609,524) na 32GB (Tsh. 711,536), hii ni zaidi ya nusu ya simu kama vile Samsung SIII na iPhone 5, wakati Nexus 4 ina hadhi uwezo unaofanana kwa kiasi kikubwa na simu hizo, Swali kubwa ambalo wengi wanajiuliza kwa nini simu hii inauzwa bei rahisi mno?
Endelea kusoma uchambuzi wa simu hii hapa:Gajetek - Gajet na Teknolojia: ::::: Uchambuzi wa Nexus 4 :::::