Uchambuzi wa magazeti Clouds TV hauvutii

Uchambuzi wa magazeti Clouds TV hauvutii

Yule aliyegombea viti maalum ccm lindi amerudi?
Kijakazi Yunus.
 
hakuna redio inasikiliza na watu wengi kama cloud fm
We na hao unaowatetea nisawa tu. Yaani mi naongelea clouds TV we unaleta mambo ya redio? Hii tanzania vipi? Haya ndio yalee ya kupasua kichwa badala ya mguu. Redio sijailalamikia!
 
uhuru ndo wanalisoma karibu lote,ingawa wanajitahidi. Wametishia kuna baadhi ya magezeti kuanzia wiki ijayo hawatakuwa wanayasoma.
 
Ttzo lpo kwa kamoga zaidi
Mi wala sina interest ya kuwajua majina maana nahisi naweza kujuta kuwafahamu. Ila yule wa miwani ndio kabisaaa boya! Yaani analeta mambo ya makuli wa bandarini kwenye TV media!
 
siku moja walikua wanadiscuss mambo ya magonjwa mpaka nikaona aibu kichaa cha mbwa wakasema ni bakteria nilimaind ile mbeya na siku nyingine wakapigana on air kidogo niipigize redio yangu chini nikaja jua hawa clous media group wanawatafuta wahuni flani ivi wenye kuweza ongea alafu kichwani hamna kitu
 
Wanaboa,wengine ni Azam two nao ni walewale,pia Itv.
Tunalazimika kukomaa na Star TV kwa uchambuzi wa magazeti wajajitahidi
 
Sivutiwi kabisa na clouds TV kiasi kwamba kila nikijaribu kujilazimisha kuiangali ndio nazidi kuchefuka.

Hawa jamaa wasoma magazeti asubuhi utadhani wako katika kijiwe cha kahawa, maneno yao hovyoo! duh.

Hapo yule Dada Baby ana IQ ya juu sana namkubali sana. Hapo vilaza ni Sam na Kamoga vichwa vyao vimejaa kamasi yaani ni 0%
 
Sivutiwi kabisa na clouds TV kiasi kwamba kila nikijaribu kujilazimisha kuiangali ndio nazidi kuchefuka.

Hawa jamaa wasoma magazeti asubuhi utadhani wako katika kijiwe cha kahawa, maneno yao hovyoo! duh.
Ukiangalia vizuri utaona habari anazosoma yule jamaa mweusi mfupi kwenye gazeti ameshaziwekea alama kwa kalamu....hiyo inaonyesha wameshazijadili offline na sasa imebaki kuzipresent tu kwa mtazamo wao...
Sio kuzisoma!!
 
Back
Top Bottom