Uchambuzi wa hali ya deni la Taifa, Tanzania na nchi nyingine Duniani

Tarehe ya leo ni 9/11/2017,kwanini data zitumike za mwaka 2016? Je,tukubaliane na wanaotuaminisha kuwa deni la taifa linakuwa kwa kasi ya ajabu kama hivyo ndivyo ilivyokuwa mwaka 2016? Machali ana kazi ya kufanya tena.
Umeona eeeh! Tuko 2017 analeta Data 2016, wakat kupaa kwa deni ni sekunde tu, halafu ulinganisho anaoutoa ni wakitoto hiv deni la mtu wa manzese unalilinganishaje na deni la Bakhresa ? halafu bado unasema kila mfanyabiasha anakopa.
 
Machali anafahamu kwamba nchi kama Marekani wana debt ceiling?

Na jambo la msingi hapa, sidhani kama kuna mtu anayepinga serikali kukopa. Kwa mara ya kwanza ninakubaliana na alichokisem Nape juzi Bungeni. Tatizo ni serikali inachukua mkopo kufanyia nini? Serikali inachukua mkopo kuwekeza kwenye maeneo ambayo kwa kiwango kikubwa yanaweza kuwekezwa na sekta binafsi. Kuchukua mkopo kwa ajili ya kununua ndege au kujenga SGR, si jambo zuri sana kwa uchumi wa nchi. Ni mara 100 mikopo itumike kwenye kuwezesha kilimo, maji, afya na elimu. Maeneo ambayo pengine hayavutii sana kwa sekta binafsi.

Matokeo yake tutakuwa na deni ambalo litatugharimu kulilipa, maana payback ‘return’ period ya uwekezaji unaofanywa na serikali haitotosha kuwezesha kulipa deni. Mwishowe serikali itakopa tena kulipa mkopo.

Uwekezaji wa kwenye Stigler’s Gorge, SGR na ATC unaweza kabisa kufanywa na sekta binafsi. Serikali then inaweza kutoa subsidies kiasi ili huduma zitolewe kwa kiwango ambacho wananchi wengi watamudu. Hivi ndivyo mataifa yaliyoendelea yanafanya.

Lakini Magufuli, aliye clueless hata na Economics 101, ukichanganya na ushamba, anataka kujifanya mjamaa uchwara!
 
Nimekwambia hivi una akili finyu weye!!! Kwa ufinyu wako wa akili takwimu za 2016 haziwezi kutumika 2017!!!! Nina mashaka makubwa na uanasheria wako. Nimekupa mifano hai lakini bado kichwa chako kizito sana kuelewa. Kuonyesha hakuna tatizo kutumia takwimu za 2016 mwaka huu ndiyo sababu ndani ya Bunge Waziri wa fedha hakuja na hoja MUFILISI kama yako mbona unatumia takwimu za 2016?

Jiongeze Mkuu uache kukurupuka kwa yale yaliyokupita kushoto.

Acha kuonyesha UZWAZWA!!! Mwanasheria gani unaropoka ropoka kila mara!? Nimekuwekea info ya juzi tu kutoka kwa Mpango. Tulizana achana na kuropoka ropoka kila mara.

:D:D:D
Tatizo lako wewe unafikiri takwimu za deni la taifa zipo kwenye magazeti na YouTube. Data zipo kwenye ripoti za benki kuu mpaka mwezi wa nane mwaka 2017. Zinaelezea kila kitu, principal, interest, deni la ndani, la nje, aina ya mabenki yanayodai ndani na nje na kwa asilimia ngapi, disbursed na non-disbursed, deni la serikali kuu, deni la sekta binafsi, deni la mashirika ya uuma, ulipaji wake kila mwezi,ukopaji kila mwezi, aina ya ulipaji n.k

Wewe kwa upumbavu wako unaona deni linafichwa, kwa kutumia kigezo gani? halafu unaleta video za Serukamba? Who gives a f? Who the hell is he? Kajisomee mwenyewe ripoti za Benki kuu halafu ubishane kwa kutumia uwezo wako na siyo wanasiasa na waandishi wa habari.
Grow some ballz and bring real and up to date data humu na uzichambue .. Achana na hao kina Machali.

Hujamuelewa huyo jamaa Petro E. Mselewa ; Anachosema yeye ni kutaka up to date data na zipo, wewe unaanza kutukana watu.
 
Wewe ni mpumbavu kweli gazeti limeandika kile alichozungumza Waziri wa Fedha lakini ZWAZWA wewe unataka kupotosha hapa kwamba gazeti limeandika uongo kitu ambacho hakina ukweli wowote ule!!!

Kama gazeti lingeandika uongo saa hizi lingeshapewa onyo likanushe kile kilichoandikwa na kuomba radhi lakini hii Serikali ya waongo haijafanya hivyo.

Wewe ndiyo wale wale wasema uongo kuhusu kila kitu ndani ya Serikali mnataka kuficha.

Kuchota pesa hazina bila idhini ya Bunge, kujenga uwanja kwa mabilioni chungu nzima ambayo hayakuwepo kwenye bajeti, kuficha ukweli kuhusu kukamatwa kwa ndege, kudai uchumi unakuwa na Serikali ina pesa nyingi wakati huo huo kushindwa kuongeza mishahara au kutoa mikopo ya kutosha kwa wanafunzi wa elimu ya juu.

Kila mara kujisifu kumbe ni taahira mwingine mtetezi was huyu dikteta uchwara mwizi muongo mtoa rushwa na fisadi mkubwa

Ni hasara kubwa kwa Taifa kuwa na wapumbavu kama wewe kutetea upuuzi uliokithiri ndani ya hii Serikali ya wasema uongo.

Kwako wewe taahira habari hii iliyoandikwa na gazeti majuzi ni uongo!! Mpuuzi kweli wewe!!

DENI LA TAIFA LAPANDA

:D:D:D
Tatizo lako wewe unafikiri takwimu za deni la taifa zipo kwenye magazeti na YouTube. Data zipo kwenye ripoti za benki kuu mpaka mwezi wa nane mwaka 2017. Zinaelezea kila kitu, principal, interest, deni la ndani, la nje, aina ya mabenki yanayodai ndani na nje na kwa asilimia ngapi, disbursed na non-disbursed, deni la serikali kuu, deni la sekta binafsi, deni la mashirika ya uuma, ulipaji wake kila mwezi,ukopaji kila mwezi, aina ya ulipaji n.k

Wewe kwa upumbavu wako unaona deni linafichwa, kwa kutumia kigezo gani? halafu unaleta video za Serukamba? Who gives a f? Who the hell is he? Kajisomee mwenyewe ripoti za Benki kuu halafu ubishane kwa kutumia uwezo wako na siyo wanasiasa na waandishi wa habari.
Grow some ballz and bring real and up to date data humu na uzichambue .. Achana na hao kina Machali.

Hujamuelewa huyo jamaa Petro E. Mselewa ; Anachosema yeye ni kutaka up to date data na zipo, wewe unaanza kutukana watu.
 
:D:D:D
Tatizo lako wewe unafikiri takwimu za deni la taifa zipo kwenye magazeti na YouTube. Data zipo kwenye ripoti za benki kuu mpaka mwezi wa nane mwaka 2017. Zinaelezea kila kitu, principal, interest, deni la ndani, la nje, aina ya mabenki yanayodai ndani na nje na kwa asilimia ngapi, disbursed na non-disbursed, deni la serikali kuu, deni la sekta binafsi, deni la mashirika ya uuma, ulipaji wake kila mwezi,ukopaji kila mwezi, aina ya ulipaji n.k

Wewe kwa upumbavu wako unaona deni linafichwa, kwa kutumia kigezo gani? halafu unaleta video za Serukamba? Who gives a f? Who the hell is he? Kajisomee mwenyewe ripoti za Benki kuu halafu ubishane kwa kutumia uwezo wako na siyo wanasiasa na waandishi wa habari.
Grow some ballz and bring real and up to date data humu na uzichambue .. Achana na hao kina Machali.

Hujamuelewa huyo jamaa Petro E. Mselewa ; Anachosema yeye ni kutaka up to date data na zipo, wewe unaanza kutukana watu.

Mkuu,tusameheane. Tupo humu kwa nia njema. Yawezekana Mkuu BAK alishindwa kunielewa. Tupo pamoja!
 
Nimekwambia hivi una akili finyu weye!!! Kwa ufinyu wako wa akili takwimu za 2016 haziwezi kutumika 2017!!!! Nina mashaka makubwa na uanasheria wako. Nimekupa mifano hai lakini bado kichwa chako kizito sana kuelewa. Kuonyesha hakuna tatizo kutumia takwimu za 2016 mwaka huu ndiyo sababu ndani ya Bunge Waziri wa fedha hakuja na hoja MUFILISI kama yako mbona unatumia takwimu za 2016?

Jiongeze Mkuu uache kukurupuka kwa yale yaliyokupita kushoto.
Nakwambia Mkuu,ukitaka kujenga hoja ya muda uliopo unatumia data za muda uliopo. Na data hizo zipo. Hakukuwa na haja ya data za 2016 kutumika kueleza hali ya sasa. Takwimu zilizotumika ni batili. Halafu,uwe unastahi wenzako kama wanavyokustahi. Lugha ya kejeli na dharau haikuwa na haja. You are one of the most respected members humu. Tupo pamoja!
 
Anaandika Moses Machali!
Mbunge wa zamani Kasulu Mjini

Nimeona watu mbalimbali kama wakistuka baada ya kusikia kwamba deni ya Taifa limeongezeka kwa Asilimia 17 kutoka Dolla za Kimarekani Bilioni 22 za Juni 2016 hadi Dola Bilioni 26 Juni 2017. Watu wanaenda mbali na kusema kwamba serikali inatupoteza. Watu na hasa wanasiasa wenzangu wanatia hofu wananchi kwamba tutafika mahala pabaya na tusiweze kukopesheka, nk. Ukweli ni kwamba deni la taifa letu ukilinganisha na nchi nyingine bado linahimilika sana tu.

Ifuatayo ni orodha ya MADENI kwa nchi mbalimbali duniani kama wanavyoeleza CIA ktika WORLD FACT BOOK na IMF. Kwa nchi za AFRICA MASHARIKI ( EAC), hali ni kama ifuatavyo yaani kiwango cha asilimia ya deni taifa kwa kila nchi (COUNTRIES PUBLIC NET DEBT AS % OF GDP):
Tanzania 36.6%
Kenya 50.4 %
Uganda 35.4 %
Rwanda 36.6%
Burundi 43.4%
Hiyo ndiyo hali ya deni la taifa kwa nchi za AFRIKA YA MASHARIKI kwa mwaka 2016. Kenya na Burundi zinadaiwa zaidi ya Tanzania huku Rwanda ikilingana na Tanzania kiasilimia. Uganda ndiyo yenye tofauti ndogo sana ikilinganishwa na Tanzania ambapo Uganda ina deni la 35.4%.

HALI YA DENI LA TAIFA KATIKA NCHI NYINGINE DUNIANI
Uingereza 92.2%
USA Marekani 73.8%
United Arab Emirates 60.3%
Ureno 126.2%
Ugiriki 181.6%
Italia 132.5%
Eritrea 119.6%
Misri (Egypt) 92.6%
China 20.1%
Ubeligiji 106.7%
Autria 85.8%
Msumbiji 100.3%
Lebanon 132.5%
JAPAN 234.7%
Jamaica 130.1%
South Africa 43.3%
Nigeria 13.2%
Moroco 77.0%
Zambia 57.2%
Nk

HITIMISHO
Nchi kukopa siyo dhambi kama inavyoaminishwa na kupotoshwa na baadhi ya wanasiasa hapa kwetu ambao huwatia hofu wananchi kwamba nchi imeuzwa. Ukiangalia mifano ya viwango vya madeni ya nchi mbalimbali duniani hapo juu kiasilimia unaona kabisaa TANZANIA hatudaiwi asilimia kubwa sana unapolinganisha na nchi nyingine duniani ambazo zinadaiwa zaidi ya 100% hadi 234.7%. Sisi bado tuna 36.6% sawasawa na Rwanda hadi ilivyofika mwaka 2016. Tujiulize, maswali kadhaa: kama Marekani yenye Uchumi mkubwa wa zaidi ya DOLA TRILIONI 14 anakopa na kudaiwa deni la asilimia 73.8, je, sisi Tanzania ni nani hadi tuache kukopa kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu? Japan anadaiwa kwa asilimia 234.7, je, sisi watanzania ni akina nani? Nchi za Uingereza wanadaiwa kwa asilimia 92.2 ya pato lao la taifa. Sisi ni akina nani. Mtanzania mwenzangu shituka na jihadhari na upotoshwaji unaofanywa na wanasiasa wachache wenye uchu wa madaraka kwa namna yoyote hata kwa kukupotosha ilimradi wakudanganye na kisha uwaunge mkono. Hata wao wakiingia madrakani lazima watakopa kwa ajili ya miradi ya maendeleo nchini. Hakuna mtu au chama kinachoweza kuingia madrakani kisha kikaendesha nchi na serikali bila kukopa;haiwezekani. Jambo la msingi ni kwamba serikali inakopa kwa ajili ya nini? Hapa kwetu tunaona serikali inakopa kwa ajili ya kujenga Barabara, Reli, na Kwa ajili ya sekta za huduma kama afya, maji, Elimu, nk. Hakuna dhambi kukopa tusidanganayane.

09th November, 2017
Sisi tuna lasirimali nyingi zikitumika vizuri tunaweza tusikope
 
Kweli nimeamini shule muhimu sana..

So, kama una shilingi kumi jana, na leo ukapata shilingi 30 hapo una ongezeko la pesa kwa asilimia ngapi??
Ndio watu tunaotumia nishati nyingi ku argue nao. Ni shida kwakweli.
 
Back
Top Bottom