Uchambuzi wa hali ya deni la Taifa, Tanzania na nchi nyingine Duniani

Leo ndo nasikia kuwa asilimia zinafika Mpaka mia mbili!!!!!!
Je tukichukua zote tukajumlisha tunapata asilimia ngapi?
Wewe nawe acha kujivua nguo. Kama hujui hesabu ni tatizo la kwako. Asilimia zinaweza kufika hata 1000, hiyo mia mbili cha mtoto.
 
Machali anasikitisha sana. Sasa kaamua kuonesha upumbavu wake hadharani. Hii yote ni katika kutaka naye aonekane.
 
Interms of national debt kasi ya ukuaji wake kati ya JPM na Kikwete,kwa JPM ameonekana anakopa kwa kasi sana.Chakushangaza Machali huyu huyu alikuwa anatokwa na povu utadhani nchi imefilisika.Leo anaonekana kutetea kibaya zaidi ya kile cha mwanzo.

Siasa za tumbo na kusaka tonge zinatuletea shida sana.
 
Mimi sio mchumi lakini nazijua hesabu. Data za 2016 hazitupi picha halisi ya uchumi wetu wa 2017. Machali njoo na data za mwaka hui nikuelewe vema kwani hali ya mwaka jana ilikuwa bora kuliko hii ya sasa ya mlo mmoja usio na virutibisho! Au huko kwenu kasulu uchumi na hali ya kipato ipo poa?
Hata mkituaminishaje juu ya deni la taifa, bado ni kubwa na halitoi tumaini la uchumi huo wa kati mnaotuhadaa nao. Wachumi wetu kina prof wa cuf wapo kimya juu ya kukua huku kwa deni na sina uhakika kama wapo kwenye google wakisaka data na rejea za tafiti walizofanya wenzao wazungu badala ya kufanya wao ili wazibandike hapa kimachalimachali na mazwazwa ua lumumba yapige makofi!
 
Anaandika Moses Machali!
Mbunge wa zamani Kasulu Mjini
Nimeona watu mbalimbali kama wakistuka baada ya kusikia kwamba deni ya Taifa limeongezeka kwa Asilimia 17 kutoka Dolla za Kimarekani Bilioni 22 za Juni 2016 hadi Dola Bilioni 26 Juni 2017. Watu wanaenda mbali na kusema kwamba serikali inatupoteza. Watu na hasa wanasiasa wenzangu wanatia hofu wananchi kwamba tutafika mahala pabaya na tusiweze kukopesheka, nk. Ukweli ni kwamba deni la taifa letu ukilinganisha na nchi nyingine bado linahimilika sana tu.
Ifuatayo ni orodha ya MADENI kwa nchi mbalimbali duniani kama wanavyoeleza CIA ktika WORLD FACT BOOK na IMF. Kwa nchi za AFRICA MASHARIKI ( EAC), hali ni kama ifuatavyo yaani kiwango cha asilimia ya deni taifa kwa kila nchi (COUNTRIES PUBLIC NET DEBT AS % OF GDP):
Tanzania 36.6%
Kenya 50.4 %
Uganda 35.4 %
Rwanda 36.6%
Burundi 43.4%
Hiyo ndiyo hali ya deni la taifa kwa nchi za AFRIKA YA MASHARIKI kwa mwaka 2016. Kenya na Burundi zinadaiwa zaidi ya Tanzania huku Rwanda ikilingana na Tanzania kiasilimia. Uganda ndiyo yenye tofauti ndogo sana ikilinganishwa na Tanzania ambapo Uganda ina deni la 35.4%.
HALI YA DENI LA TAIFA KATIKA NCHI NYINGINE DUNIANI
Uingereza 92.2%
USA Marekani 73.8%
United Arab Emirates 60.3%
Ureno 126.2%
Ugiriki 181.6%
Italia 132.5%
Eritrea 119.6%
Misri (Egypt) 92.6%
China 20.1%
Ubeligiji 106.7%
Autria 85.8%
Msumbiji 100.3%
Lebanon 132.5%
JAPAN 234.7%
Jamaica 130.1%
South Africa 43.3%
Nigeria 13.2%
Moroco 77.0%
Zambia 57.2%
Nk
HITIMISHO
Nchi kukopa siyo dhambi kama inavyoaminishwa na kupotoshwa na baadhi ya wanasiasa hapa kwetu ambao huwatia hofu wananchi kwamba nchi imeuzwa. Ukiangalia mifano ya viwango vya madeni ya nchi mbalimbali duniani hapo juu kiasilimia unaona kabisaa TANZANIA hatudaiwi asilimia kubwa sana unapolinganisha na nchi nyingine duniani ambazo zinadaiwa zaidi ya 100% hadi 234.7%. Sisi bado tuna 36.6% sawasawa na Rwanda hadi ilivyofika mwaka 2016. Tujiulize, maswali kadhaa: kama Marekani yenye Uchumi mkubwa wa zaidi ya DOLA TRILIONI 14 anakopa na kudaiwa deni la asilimia 73.8, je, sisi Tanzania ni nani hadi tuache kukopa kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu? Japan anadaiwa kwa asilimia 234.7, je, sisi watanzania ni akina nani? Nchi za Uingereza wanadaiwa kwa asilimia 92.2 ya pato lao la taifa. Sisi ni akina nani. Mtanzania mwenzangu shituka na jihadhari na upotoshwaji unaofanywa na wanasiasa wachache wenye uchu wa madaraka kwa namna yoyote hata kwa kukupotosha ilimradi wakudanganye na kisha uwaunge mkono. Hata wao wakiingia madrakani lazima watakopa kwa ajili ya miradi ya maendeleo nchini. Hakuna mtu au chama kinachoweza kuingia madrakani kisha kikaendesha nchi na serikali bila kukopa;haiwezekani. Jambo la msingi ni kwamba serikali inakopa kwa ajili ya nini? Hapa kwetu tunaona serikali inakopa kwa ajili ya kujenga Barabara, Reli, na Kwa ajili ya sekta za huduma kama afya, maji, Elimu, nk. Hakuna dhambi kukopa tusidanganayane.
09th November, 2017
 
Umetoa analysis nzuri na inayotia moyo, kukumbushana ni kuwa wanaolalamika wanadhani kumkopesha mtu aliyeko kijiweni ni tofauti na mkulima mwenye mashamba yanayozalisha mazao!
 
Uchumi wetu ni wa siasa mpaka sasa hivi siamini madeni wanayoyataja wanasiasa wetu kila mmoja anataja lake.....ama hakika nakupenda Tanzania....
 
Anaandika Moses Machali!
Mbunge wa zamani Kasulu Mjini

Nimeona watu mbalimbali kama wakistuka baada ya kusikia kwamba deni ya Taifa limeongezeka kwa Asilimia 17 kutoka Dolla za Kimarekani Bilioni 22 za Juni 2016 hadi Dola Bilioni 26 Juni 2017. Watu wanaenda mbali na kusema kwamba serikali inatupoteza. Watu na hasa wanasiasa wenzangu wanatia hofu wananchi kwamba tutafika mahala pabaya na tusiweze kukopesheka, nk. Ukweli ni kwamba deni la taifa letu ukilinganisha na nchi nyingine bado linahimilika sana tu.

Ifuatayo ni orodha ya MADENI kwa nchi mbalimbali duniani kama wanavyoeleza CIA ktika WORLD FACT BOOK na IMF. Kwa nchi za AFRICA MASHARIKI ( EAC), hali ni kama ifuatavyo yaani kiwango cha asilimia ya deni taifa kwa kila nchi (COUNTRIES PUBLIC NET DEBT AS % OF GDP):
Tanzania 36.6%
Kenya 50.4 %
Uganda 35.4 %
Rwanda 36.6%
Burundi 43.4%
Hiyo ndiyo hali ya deni la taifa kwa nchi za AFRIKA YA MASHARIKI kwa mwaka 2016. Kenya na Burundi zinadaiwa zaidi ya Tanzania huku Rwanda ikilingana na Tanzania kiasilimia. Uganda ndiyo yenye tofauti ndogo sana ikilinganishwa na Tanzania ambapo Uganda ina deni la 35.4%.

HALI YA DENI LA TAIFA KATIKA NCHI NYINGINE DUNIANI
Uingereza 92.2%
USA Marekani 73.8%
United Arab Emirates 60.3%
Ureno 126.2%
Ugiriki 181.6%
Italia 132.5%
Eritrea 119.6%
Misri (Egypt) 92.6%
China 20.1%
Ubeligiji 106.7%
Autria 85.8%
Msumbiji 100.3%
Lebanon 132.5%
JAPAN 234.7%
Jamaica 130.1%
South Africa 43.3%
Nigeria 13.2%
Moroco 77.0%
Zambia 57.2%
Nk

HITIMISHO
Nchi kukopa siyo dhambi kama inavyoaminishwa na kupotoshwa na baadhi ya wanasiasa hapa kwetu ambao huwatia hofu wananchi kwamba nchi imeuzwa. Ukiangalia mifano ya viwango vya madeni ya nchi mbalimbali duniani hapo juu kiasilimia unaona kabisaa TANZANIA hatudaiwi asilimia kubwa sana unapolinganisha na nchi nyingine duniani ambazo zinadaiwa zaidi ya 100% hadi 234.7%. Sisi bado tuna 36.6% sawasawa na Rwanda hadi ilivyofika mwaka 2016. Tujiulize, maswali kadhaa: kama Marekani yenye Uchumi mkubwa wa zaidi ya DOLA TRILIONI 14 anakopa na kudaiwa deni la asilimia 73.8, je, sisi Tanzania ni nani hadi tuache kukopa kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu? Japan anadaiwa kwa asilimia 234.7, je, sisi watanzania ni akina nani? Nchi za Uingereza wanadaiwa kwa asilimia 92.2 ya pato lao la taifa. Sisi ni akina nani. Mtanzania mwenzangu shituka na jihadhari na upotoshwaji unaofanywa na wanasiasa wachache wenye uchu wa madaraka kwa namna yoyote hata kwa kukupotosha ilimradi wakudanganye na kisha uwaunge mkono. Hata wao wakiingia madrakani lazima watakopa kwa ajili ya miradi ya maendeleo nchini. Hakuna mtu au chama kinachoweza kuingia madrakani kisha kikaendesha nchi na serikali bila kukopa;haiwezekani. Jambo la msingi ni kwamba serikali inakopa kwa ajili ya nini? Hapa kwetu tunaona serikali inakopa kwa ajili ya kujenga Barabara, Reli, na Kwa ajili ya sekta za huduma kama afya, maji, Elimu, nk. Hakuna dhambi kukopa tusidanganayane.

09th November, 2017

Linganisha Madeni na Maendeleo ya nchi husika....
TZ tunakopa, tunalia bata..........
JK and etal....
 
Sisi bado tuna 36.6% sawasawa na Rwanda hadi ilivyofika mwaka 2016. Tujiulize, maswali kadhaa: kama Marekani yenye Uchumi mkubwa wa zaidi ya DOLA TRILIONI 14 anakopa na kudaiwa deni la asilimia 73.8, je, sisi Tanzania ni nani hadi tuache kukopa kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu?
Machali ni wapi kuna Mtanzania amekataa tusikope? Paonyeshe, kila Mtazania mwenye akili aliyepaza sauti yake alipaza kukosoa aina ya ukopaji na lengo la kukopa! Hao wote uliowataja hapo juu, ungeweka na sababu za wao kukopa na wapi walipokopa!

Kukopa kwa riba kubwa kisa tu na jirani yako au mkubwa wako anakopa ni UJINGA na upuuzi wa hali ya juu, sababu za kukopa ni zipi? Unakopa ukanunue ndege? Unakopa ili uendeshe Bajeti? Yaani ni sawa na kukopa kwenye hizi Financial Instituion ili ulipe kodi ya nyumba....

Kwahio hii ni ihoja ya Machali ni mufilisi, haina maana kujaza takwimu ambazoo hazijibu swali la msingi, swali la Msingi ni Unakopa ili iweje? Unamkopa nani kwa masharti gani? Ukijibu hayo basi utagundua kuwa hizo takwimu ni relavant au ni ujinga tu
 
Leo ndo nasikia kuwa asilimia zinafika Mpaka mia mbili!!!!!!
Je tukichukua zote tukajumlisha tunapata asilimia ngapi?
Kweli nimeamini shule muhimu sana..

So, kama una shilingi kumi jana, na leo ukapata shilingi 30 hapo una ongezeko la pesa kwa asilimia ngapi??
 
USA ina madeni lakin na yenyewe kuna nchi inazidai ikiwemo Tanzania. Asilinganishe Tz na USA sisi tunadaiwa tu labda kidogo tunawadai Barrick USD 300

Hapana tunawadai 400+trilioni, umesahau baada ya ripoti ya wasomi na kukokotolewa na TRA?
 
Anaandika Moses Machali!
Mbunge wa zamani Kasulu Mjini

Nimeona watu mbalimbali kama wakistuka baada ya kusikia kwamba deni ya Taifa limeongezeka kwa Asilimia 17 kutoka Dolla za Kimarekani Bilioni 22 za Juni 2016 hadi Dola Bilioni 26 Juni 2017. Watu wanaenda mbali na kusema kwamba serikali inatupoteza. Watu na hasa wanasiasa wenzangu wanatia hofu wananchi kwamba tutafika mahala pabaya na tusiweze kukopesheka, nk. Ukweli ni kwamba deni la taifa letu ukilinganisha na nchi nyingine bado linahimilika sana tu.

Ifuatayo ni orodha ya MADENI kwa nchi mbalimbali duniani kama wanavyoeleza CIA ktika WORLD FACT BOOK na IMF. Kwa nchi za AFRICA MASHARIKI ( EAC), hali ni kama ifuatavyo yaani kiwango cha asilimia ya deni taifa kwa kila nchi (COUNTRIES PUBLIC NET DEBT AS % OF GDP):
Tanzania 36.6%
Kenya 50.4 %
Uganda 35.4 %
Rwanda 36.6%
Burundi 43.4%
Hiyo ndiyo hali ya deni la taifa kwa nchi za AFRIKA YA MASHARIKI kwa mwaka 2016. Kenya na Burundi zinadaiwa zaidi ya Tanzania huku Rwanda ikilingana na Tanzania kiasilimia. Uganda ndiyo yenye tofauti ndogo sana ikilinganishwa na Tanzania ambapo Uganda ina deni la 35.4%.

HALI YA DENI LA TAIFA KATIKA NCHI NYINGINE DUNIANI
Uingereza 92.2%
USA Marekani 73.8%
United Arab Emirates 60.3%
Ureno 126.2%
Ugiriki 181.6%
Italia 132.5%
Eritrea 119.6%
Misri (Egypt) 92.6%
China 20.1%
Ubeligiji 106.7%
Autria 85.8%
Msumbiji 100.3%
Lebanon 132.5%
JAPAN 234.7%
Jamaica 130.1%
South Africa 43.3%
Nigeria 13.2%
Moroco 77.0%
Zambia 57.2%
Nk

HITIMISHO
Nchi kukopa siyo dhambi kama inavyoaminishwa na kupotoshwa na baadhi ya wanasiasa hapa kwetu ambao huwatia hofu wananchi kwamba nchi imeuzwa. Ukiangalia mifano ya viwango vya madeni ya nchi mbalimbali duniani hapo juu kiasilimia unaona kabisaa TANZANIA hatudaiwi asilimia kubwa sana unapolinganisha na nchi nyingine duniani ambazo zinadaiwa zaidi ya 100% hadi 234.7%. Sisi bado tuna 36.6% sawasawa na Rwanda hadi ilivyofika mwaka 2016. Tujiulize, maswali kadhaa: kama Marekani yenye Uchumi mkubwa wa zaidi ya DOLA TRILIONI 14 anakopa na kudaiwa deni la asilimia 73.8, je, sisi Tanzania ni nani hadi tuache kukopa kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu? Japan anadaiwa kwa asilimia 234.7, je, sisi watanzania ni akina nani? Nchi za Uingereza wanadaiwa kwa asilimia 92.2 ya pato lao la taifa. Sisi ni akina nani. Mtanzania mwenzangu shituka na jihadhari na upotoshwaji unaofanywa na wanasiasa wachache wenye uchu wa madaraka kwa namna yoyote hata kwa kukupotosha ilimradi wakudanganye na kisha uwaunge mkono. Hata wao wakiingia madrakani lazima watakopa kwa ajili ya miradi ya maendeleo nchini. Hakuna mtu au chama kinachoweza kuingia madrakani kisha kikaendesha nchi na serikali bila kukopa;haiwezekani. Jambo la msingi ni kwamba serikali inakopa kwa ajili ya nini? Hapa kwetu tunaona serikali inakopa kwa ajili ya kujenga Barabara, Reli, na Kwa ajili ya sekta za huduma kama afya, maji, Elimu, nk. Hakuna dhambi kukopa tusidanganayane.

09th November, 2017

Wenzetu wamekopa wamewekeza vizuri wananchi wanapata Ustawi wa Jamii, sijui kama uwekezaji tunaofanya kwa mikopo hiyo italeta ustawi wa kijamii
 
Jamaa wewe ni mwongo sana Max liability ni 50% naona laana za baba yako zinakuandama!!
 
Kwa hiyo nyie sio donor country tena, Vipi hali ya maisha za wananchi na demokrasia

Back
Top Bottom