Uchambuzi vifurushi vya halotel

Wanaolalamika bei ya vifurushi vya net vya halotel, je vya SMART wanaweza kugusa!
smart nje ya dar 20,000 true unlimited (sijajiunga muda mrefu)

hicho ndio kifurishi cha bei rahisi zaidi, pia coverage ya 3g smart ni kubwa sana nje ya dar. wakati natumia smart unadownload mamia ya gb kwa mwezi kwa bei hio.
 
Mbona juzi hapa kifurushi cha neti cha siku ni mb 650 kwa sh1000 afu wanakipa dk kwa halotel tu....na kile cha bila kikomo ni mb 500 za kasi
 
Hivi ulivyoandika sio vifurushi vya ukweli vya Halotel, mfano hicho cha 500 ni MB 250 sio 200. Kujua vifurushi vya ukweli piga *148*66#
 
Hivi ulivyoandika sio vifurushi vya ukweli vya Halotel, mfano hicho cha 500 ni MB 250 sio 200. Kujua vifurushi vya ukweli piga *148*66#
Angalia vizuri tareh ya hiyo habari ivyo unavyosema wewe vimekwa juzjuz tu hpa
 
Wameanza shusha mbs zao tshs 499 ilikuwa 320 now ni 250
 
Baada ya kugundua kuwa H.tel huwa wanaunga vifurushi vyao ukivipigia timing. Yaani kifurushi cha siku kabla hakijaisha unaweza kuunga na kifurushi cha aina yoyote cha siku na ukapata mb zilizobaki. Nimetayarisha pia excel upige haraka ujue ni wapi utapata kwa urahisi kwa mtindo wa kuunga. Cha muhimu ni kupiga timing. Kwenye excel jaza tu namba ya kifuruhsi kama kinavyoonekana kwenye jedwali kushoto, kisha ni mara ngapi kwa kwa mfano jumla ya siku tatu za buku mbili mbili inakupa gb 9, kisha siku nne za shilingi 249 inakupa 0.3 unakua na jumla ya gb 9.3 kwa wiki kwa sh 6,996. Futa namba chini ya "Namba" na "Mara" uweke mtindo unaotaka wewe. Click hapa download excel hapa Ujaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…