Uchambuzi: Ugeni wa Gwajima na Makonda kwa Kardinali Pengo katika Ulimwengu wa kiroho unamaanisha tofauti kabisa na malengo yao

Kama ni mfuatiliaji wa mambo utajua waziwazi kwamba Pengo na Makonda ndo walikuwa wamemkosea Gwajima. Gwajima alisimama kutetea haki wakati ambapo kila mtu alikuwa kimya.

Sasa kwa sababu ya mtazamo wa wengi, hawaoni kama Pengo na Makonda walikosea. Kwa sababu Gwajima ana hekima sana, ameona tu afanye upatanisho. Sioni kama kuna shida. Ni jambo jema kwa wote; kuyaacha yaliyopita yapite na kuangalia mbele.
 
Hii Paragraph ya mwisho kupata tafsiri inabidi mshana jr ahusike.

Naungana na wewe kuwa Gwajima alipaswa aombe msamaha kwa kupitia kanisani kwake kisha ndio aende kwa Askofu.
Kwani Nani alikuambia Gwajima ameenda kuomba msamaha? Mbona mnajitafutiaga captions ambazo hazipo nyie
 
kipindi hicho alikuwa bado hajajiunga na kile kitengo Cha UVUMILIVU!
ambako rasmi alijiunga baada ya Ile video !
Umekaa hapo kwa shemeji yako unaandika utumbo hivi unajua mazungumzo yaliyokuwepo hapo? Umekazana tu kuomba msamaha Mara Mambo ya rohoni unajua Mambo ya rohoni yanatambuliwaje? Hebu acha kujipigisha nyeto huku umeshika pilipili
 
Walienda kupiga magoti
msamaha ni kutoka moyoni sio kutangazia umma sasa wakisema waanze kuomba msamaha unatengeneza malumbano yahoja tuu na Gwajima wala Makonda hawana makosa wao sio wajinga waanze tuu kumtoleaa Pengo maneno hayo kama yeye hana makosa wao wamefanya tuu kumsaidia Pengo angalau ajisikie kasamehewa na si kwamba wao ndio wameenda kuomba msamaha
Jaribu kuona picha kama kusoma hujui
 
Upuuzi mtupu kuhusisha wazinzi wawili waliokutana kwa cadinali na maswala ya kiroho! Hovyo kabisa umejiropokea tu kwakuwa unabando
 
Gwajima anapaswa kuwaomba wakatoliki wote msamaha hadharani la sivyo hatumsamehi. Ametutukana sana.
 
Upuuzi.
 
Hao ni majambazi wa kisiasa bhana ndio hao aliosema Pole Pole kuwa ni majambaz wa kisiasa
 
Hongera Gwajima kutafuata amani na watu wote ndiyo jambo la muhimu.
 
Tangu mwanzoni, wote watatu walijulikana kutumiwa vibaya na wanasiasa (ccm), sinema bado inaendelea, wote ni wasanii.
 
Kawe sio wajinga Hadi qamchague kiongozi mwenye kutokana dini za watu ilhali kiongozi anapaswa kuwa kumunganishaji badala ya mbaguzi.. sisi waislamu wa kawe hatutamchagua gwajima na nadhani wakatoliki nao watafanya hivyo hivyo.

Kura zote wlkwa halima mdee ambaye anaheshimu dini zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…