Uchambuzi - Sheikh Ponda Issa Ponda

Uchambuzi - Sheikh Ponda Issa Ponda

Huu mvinyo wa dini unalewesha kuliko viroba? unafahamu maana ya ardhi au mali za wakfu? Taifa lipi linalonufaika kwa Ponda kukaa jela?
kaka achana na huyo asiyejitambua,tatizo siyo viroba ni mchukia haki na hata biblia inasema haki yake mwenye haki itakuwa juu yake.haki imemfanya ponda apigwe risasi morogoro,amin iko siku kiwanja kitarudi kwa waislamu wenyewe na ponda atakuwa huru.bakwata hawatetei ili kwa sababu wao ndiyo wameuza hiyo wakfu.
 
Unadai haki yako mwenyewe unakamatwa kama jambazi na unasweka lupango!...Haya nayo ni maajabu katika nchi ya

Tanzania. Haki yako mwenyewe inakupa matatizo makubwa namna hii. Haya yanatokea na watetezi wa haki za

binaadamu wanayashuhudia. Eee! Mungu mlipe kila dhalimu anachostahiki na muanze kumuonyesha hapa hapa duniani.

Amin!
 
Ccm imewazalilisha sana mashekhe wetu ponda na wale wa Zanzibar niwakati muafaka wa kuwafundisha adabu pia ni wakati wakuwatetea mashekhe wetu juu ya dhuluma wanazo fanyiwa waislamu wote kwa wingi tuamke asubuhi na mapema sana baada ya kuswali asubuhi tuwahi vituoni tukapige kura zetu za kubadilisha bega maana huu mzigo tumeubeba kwenye bega moja mda mrefu ni wakati muafaka wa kubadilisha bega!
 
Si waislamu wakaombe serikalini kiwanja kingine?Mbona mapori yapo kibao huko Mvuha na Kinole?

Thamani ya hayo mapori ya mvuha inafanana na thamani ya kile kiwanja pale Chang'ombe opposite na DUCE??
 
Si waislamu wakaombe serikalini kiwanja kingine?Mbona mapori yapo kibao huko Mvuha na Kinole?

We ndio pumba kabisa!

Unapozungumza kwenye kadamnasi namna hii, ni vema basi ukajaribu kuficha upumbavu wako!

Sitashangaa nikisikia wewe ni miongoni mwa viumbe mnaofikiri kwa kutumia MAKALIO!

Teh teh teh!
 
Huu mvinyo wa dini unalewesha kuliko viroba? unafahamu maana ya ardhi au mali za wakfu? Taifa lipi linalonufaika kwa Ponda kukaa jela?

Leo mwanangu wa kufikia umesema la maana.
Nidai Chips mayai mawili Jioni.
Na Pepsi moja nakupa ukandamizie kabisa.

Ukienda mwendo huu Tutafika mahala pazuri tu mimi na wewe.
Hata ka shamba kadogo ka kuanzia maisha ntakusaidia kutafuta.
Kula tano fasta! 🙋
 
Si waislamu wakaombe serikalini kiwanja kingine?Mbona mapori yapo kibao huko Mvuha na Kinole?

Mkuu hivi unachosema, unamanisha kweli?!! mtu akunyang'anye kiwanja maeneo ya chang'ombe akakutafutie kingine kimbiji?!! ungejua hicho kiwanja baada ya kuchukuliwa(kunununliwa) kimeuzwa bei gani usingeandika hicho ulichoandika. kama huna taarifa za kutosha juu ya jambo fulani ni bora ukasoma tu kuliko kutoa mchango kama huo, kwani inakuwa rahisi kwa mtu kujua uwezo wa ufahamu wako juu ya jambo fulani.
 
Si waislamu wakaombe serikalini kiwanja kingine?Mbona mapori yapo kibao huko Mvuha na Kinole?

Wewe ulieandika maneno haya, ungelikiwa karibu yangu ningelikuramba kibao cha kisogoni. Pambaff kabisa wewe!
 
CCM NA CHADEMA wote hawana nia nzuri juu ya waislam na uislam wao.ndio maana GWAJIMA anataka kubadili misikiti tunayoabudia kuwa shule yeye na maswahiba zake.huu uonevu tutautoa sisi wenyewe waislamu tutapoipiga BAKWATA chini
Uchaguzi wa mwaka huu ni kati yha CCM na UKAWA, chadema wanatoka wapi? Ndani ya Ukawa si kuna CUF? Lakini pia toka lini Gwajima akawa mtunga sera au msemaji wa chadema? Ukweli mchungu ni kuwa Bakwata haiwezi kufa wa kubadilika as long as CCM inaendelea kutawala.Tena huko tuendako CCM itaihitaji zaidi Bakwata na hivyo kuikumbatia na kuilinda zaidi. Kama kweli chadema ni 'wachawi' wa uislam, basi wakati umefika wapewe mtoto walee kama walivyosema wahenga.
 
"Historia ya Waislam wa Tanzania itakapokuja kuandikwa," kwani historia ya Waislam wa Tanzania haijaandikwa?

Tumesoma mashuleni uislam Tanzania umeanza karne ya tisa or thereabout, zaidi ya miaka elfu moja iliyopita, historia hiyo itakuwa haijaandikwa?

Anajitahidi tahidi sana kuandika mambo ya Uislam wa Tanzania huyu Muhamed Said, tatizo shule yake nayo ni ya mashaka mashaka sana. Kwa hiyo unapomsoma sentensi ya kwanza tu, kama hapo juu, anapoteza credibility ya kuendelea kumsoma.

Ulitakiwa kusema "historia mpya" itakapokuja kuandikwa, au kwa lugha nyingine "revisionist history..." Hiyo haikufungi kuulizwa na msomaji historia ipi hiyo ambayo haijaandikwa, vinginevyo inabidi uwe very specific ni kipindi ama historia ipi hiyo unadai haijaandikwa.

"Historia itapokuja kuandikwa..." inatumika kwa tukio linaloendelea au lililotokea muda mfupi sana ambapo bado hakujawa hata na nafasi ya kusema historia yake imeandikwa. Mfano, "historia ya uchaguzi wa Urais wa mwaka huu itakapokuja kuandikwa..." Umeelewa bwana Muhamed Said?
BAADHI YA MACHAPISHO

1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi. (Children's book).

3. Contributing author for an African Anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

5. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

6. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

7. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

8. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

9. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

10. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

11. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

12. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000' (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).

13. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004).

14. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA)Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004).

15. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).

16. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century 1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

17. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International (IPCI) Durban.

18. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

19. Visiting Scholar: (2011):

20. University of Iowa, Iowa City, USA

21. Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

22. Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin, Germany.

23. Member Library of Congress, Washington DC, USA

Tumeelewana Bwana Kwameh?
Ukitaka kunijua zaidi: mohammedsaid.com
 
BAADHI YA MACHAPISHO

1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi. (Children’s book).

3. Contributing author for an African Anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

5. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

6. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

7. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

8. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

9. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

10. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

11. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

12. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).

13. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004).

14. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA)Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004).

15. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).

16. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century 1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

17. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International (IPCI) Durban.

18. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

19. Visiting Scholar: (2011):

20. University of Iowa, Iowa City, USA

21. Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

22. Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin, Germany.

23. Member Library of Congress, Washington DC, USA

Tumeelewana Bwana Kwameh?
Ukitaka kunijua zaidi: mohammedsaid.com

Ha haaa!..kwame njoo huku utuwekee yako na ya baba yako tulinganiahe..kama haitoshi ongeza na ya gwajma!
 
Mimi nataka tu kujua kama kiwanja kilipatikana
 
Back
Top Bottom