JMP alipoanza kukalia kile kiti cha Ikulu alisema anawapenda wasema kweli na watu wasio wanafiki. Sijui kama bado anaongozwa na hiyo kitu.Serikali ya kugawa umaskini kwa Watanzania walio wengi na kugawa utajiri kwa wachache watwnda maovu wakiwemo mafisadi, wezi wa mali ya umma, wapokea rushwa, wakwapuzi wa mashirika ya umma, wakwapuzi wa nyumba za Serikali, majangili na wauza unga. CCM oyee CCM oyee.
Usisahau kumuombea, mkulu wetu anapenda na anahitaji kuombewa.
Hima hima wadanganyika wenzangu, tuendelee kumuombea Mtumbua majipu afanikiwe kututumbua ili tuishi maisha ya kimalaika.