T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,096
- 4,574
Kwa maana kwamba sio mmiliki tena?Fatilia pale imebakia Chelsea pekeake.yeye ashatimuliwa

Kuish ardhi ya uingereza(UK),nibaada yakushambuliwa kwa jasus wa kirus anayefanya kazi na uingereza(doublestandard jasus/ndumilakuwili.tafiti zilionesha abromovich alisimamia shoo hiyoKwa maana kwamba sio mmiliki tena?
Umiliki wa club anaendelea kumiliki ila kuishi pale hatakiwi sababu nimekupaKwa maana kwamba sio mmiliki tena?
Jina la kitabu.ABRAMOVICH THE BILLIONAIRE FROM NOWHERE
CHAPTER 10
MISTER CHELSKI
Mwandishi anasema kuwa Abramovich alikuwa anapenda mpira wa miguu,na alikuwa mfadhili wa timu kadhaa huko kwao Urusi.Mwanzoni alipenda zaidi ligi ya Italy na Spain na alipenda kumilki klabu kwenye moja ya ligi hizo yaani Serie A au la Liga,akafuatilia ununuzi wa klabu kwenye nchi hizo akashindwa kutokana na sheria tata za raia wa nje kumiliki klabu,wakati huo sheria haikuruhusu umiliki kutoka nje,baada ya kushindwa ndio aligeukia EPL na klabu ya kwanza kutaka kununia ilikuwa MANCHESTER UNITED mwaka 2002.Mwaka huu alitembelea dimba la Old Traford siku ya mechi ambayo Man United ilicheza na Real Madrid,alifurahishwa na mchezo na wakati anatoka rafiki yake ambaye alikuwa mchezaji wa Man united beki kisiki Rio Fernand ndio aliwapa lift kwa gari yake.
Baadae Bwana Abramovich kwa ushawishi wa rafiki zake akapata dili la Chelsea.Wakati huo chelsea ilikuwa ikimilikiwa na Ken Bates taycoon aliyekuwa anakabiliwa na madeni ya kutosha kufuatia uwekezaji mkubwa aliokuwa amefanya eneo ambalo ni uwanja wa Chelsea,wakati huo alikopa paundi 75mil ili ajenge kuanzia maduka,malls,na burudani nyingine lakini kwa bahati mbaya biashara haikwenda vizuri hadi kufkia 2003 hali ilikuwa tete sana hadi kufikia kuweka club sokoni aliweka timu sokoni kwa mbide sana maana alikuwa mtu anayependa sifa na asiyekubali kushindwa! Alikuwa na urafiki na Pin Zahavi ambaye alikuwa miongoni mwa wadau muhimu wa mpira wa miguu Ulaya,huyu alikuwa rafiki wa Bates na alikuwa pia rafiki wa Abramovich(yeye na Abramovich walikuwa Jews)wakati huo Chelsea ilikuwa ina deni la paundi laki na ishirini na sita milion.
Mmiliki wa Chelsea alipokutana na Abramovich kwa msaada wa Zahavi walizungumza kuhusu uwezakano wa kununua na yeye Abramovich alimjulisha kuwa kama wakikukubaliana atalipa cash(taslimu)siku iliyofuata walikutana Stanford Bridge ndani ya dakika ishirini wakamaliza dili,mwanzoni Bates aliuza hisa moja kwa paundi 50 lakini kwa ustadi mkubwa Abramovich alimshawishi akakubali 35p sawa na jumla ya paundi 60mil aidha alichukua deni la paundi mil 80 hivo kufanya jumla ya 140mil paundi.Hivo Chelsea ikawa imeuzwa kwa jumla ya paundi milioni 140(sawa na dhamani ya Harry Maguire pamoja na Wan Bisaka).Hata hivo alichonunua Abramovich ilikuwa sehemu tu ya umiliki wa club kwa kuwa Bates hakumiliki kwa 100%,kulikuwa namakampuni mengine mbalimbalmengine yamesajiliwa kwenye visiwa vinavificha uhalisia,sasa ikawa jukumu LA Abramovich kuhakikisha anawanunua wote.Wakati anainunua Chelsea hakuna mtu anayejulikana ilibid hata waziri wa michezo wa Uingereza aitishe uchunguzi wa uuzaji wa klabu kwa mtu asiyejulikana historia yake
Miezi miwili tangu anunue klabu Abramovich akaanza matumizi ya uwekezaji yaliyouacha ulimwengu mdomo wazi...yaani aliamua kuwafunga mdomo wote,kwanza alinunua wachezaji kwa gharama kubwa
Juan Sebastian Veron kutoka Manchester United kwa £15 million, Claude Makelele kutoka Real Madrid
£14 million,
Damien Duff from Blackburn Rovers for £17 million,
Joe Cole na Glen Johnson from West Ham for £6.6 million Jumla alitumia paundi milioni 110 matumizi haya yalimwongezea imani kwa mashabiki na wanazi wa Chelsea
Abramovicj alikusudia kufanya Chelsea kuwa Global brand ikabidi amlete Peter Kenyon kuwa mkurugenzi kutoka Man United,aliahidi kumlipa Mara mbili ya mshahara wake,inasema Peter Kenyon aligharimu Chelsea hadi paundi million saba kwa mwaka.

Kumbe alikuwa akiishi hapo hapo? Sasa nimeelewaUmiliki wa club anaendelea kumiliki ila kuishi pale hatakiwi sababu nimekupa
Hapa ndo penyewe saJina la kitabu.ABRAMOVICH THE BILLIONAIRE FROM NOWHERE

Usijali,taarifa zasimba ya kariako unazo hadisahziKumbe alikuwa akiishi hapo hapo? Sasa nimeelewa
Usinichoke kaka kuuliza sio ujinga
Soka nalo limenipita pembeniUsijali,taarifa zasimba ya kariako unazo hadisahzi

Asante sana mkuu, nimejifunza kitu hapo,Kuish ardhi ya uingereza(UK),nibaada yakushambuliwa kwa jasus wa kirus anayefanya kazi na uingereza(doublestandard jasus/ndumilakuwili.tafiti zilionesha abromovich alisimamia shoo hiyo
View attachment 1730169
Mwamba wa Africa kumbe ni Tycoon kuliko huyu mwizirael
Rudi mkuu kimenuka tayarNgoja miaka isogee kidogo nitarudi
Nimerudi mkuuRudi mkuu kimenuka tayar