Uchakachuaji wa Bajeti iliyowasilishwa Bungeni na ile iliyopelekwa IMF (kwa wahisani)

mtanzaniahai

Member
Oct 3, 2010
21
4
Uchakachauaji wa Bajeti iliyowasilishwa bungeni na ile iliyopelekwa kwa wahisani, nani awajibishwe? Na kifanykike nini serikali iwache kuchakachua?:angry:
 
Wahisani wasitoe pesa ili liwe fundisho kwa serikali.Hii inaweza kuwa sababu mojawapo ya kuchochea mabadiliko ya kuandikwa kwa katiba mpya kwani kuwepo kwa katiba inayoeleweka itaweza ku-promote Good Gorvenance Tanzania
 
Nakusapoti kwa hili, na pia wawanyime viza za ku-spend hela za walipa kodi nje ya nchi viongozi mpaka watoe maelezo yalionyooka!
 
Hawa donors kuna vitu wanavuna Tz bse kwa issue kama iyo unacancell ata iyo donor support.
Kwa kuwa wanajua wanavuna kimtindo usishangae wakatoa onyo na kutupa ela.
Ni kheri wakaacha kutusupport ili tuje kuuza izo V8
 
Back
Top Bottom