Uchaguzi Zanzibar: Hongera Rais Magufuli kwa msimamo sahihi

Sikiliza ushuhuda wa Mkapa, utajua ninyi wa damudamu mliua machotara wepi.
Au husomi kupitia links na video,unataka ulishwe kama mutoto ya darasa ya 1.?

Mapanga pia mnatumia kwenye kile kikosi chenu cha mazombie, risasi moto na vitu vyenye ncha kali ndio ngao yenu. Ninyi mnapenda damu kinoma.
Link1.MAONI YA MHARIRI: Mazombi ni nani, kwa nini wanatamba Zanzibar
Link2. Raia Mwema - Kikwete na ukatili wa “mazombi”
Link3. Maalim Seif:''Mazombie'' Wanashambulia wafuasi wangu - BBC Swahili
Mkuu hao machotara wako Zanzibar tu?
Na wakiwa huko Zanzibar, basi wanauwawa na Mkapa, watu wa ajabu ninyi!
Wakihamia bara wako salama au vipi?
Basi mna matatizo makubwa huko Zenj, maana inaelekea kuna ubaguzi wa kutisha, swala linalokanushwa na ninyi wenyewe kila siku.
Na mazombie wako visiwani tu?
Huku bara salama salmini!
Halafu mwasema Zanzibar ni njema, mwenye hamu na aje!!
Mmelea matatizo yenu ya kibaguzi, mkija huku bara mnaishi peponi!
 
JWTZ iko Zanzibar pia, JWTZ haikuvamia kituo cha NEC na kuzuia utangazaji wa matokeo ya kumsimika Magu lakini JWTZ ilivamia kituo cha ZEC cha kutangazia matokeo kwa sababu ZEC ilishindwa kumsimika "mshindi" Dr, Shein.
Je huu nao ni ubaguzi?
 
Mkuu unajaribu ku politicize role ya jeshi, na ndio maana hata JK aliwajibu kimjini wale waliokuwa wanamzonga juu ya hilo-kaongeeni na Jeshi muafikiane!

Mtu wenu mzanzibari mwenzenu Dr Shein, ongeeni naye mfikie usuluhisho wa mwisho, kabka ya uchaguzi.
You people are playing a losing game!
Mara mazombie, mara machotara, mara CCM inaua machotara!
Mmechanganyikiwa full time, CUF Mapanga shaa shaa!
 
Maso soma michango yote tokea ulianzisha mada hii, uone ni nani aliyechangayikiwa?
Wanaokusoma wataamua.
Ukweli utabaki JWTZ lilitumika kubaka demokrasia. Siku wanafanya hivyo kituo cha ZEC kilikuwa kinamulikwa na macho ya dunia,waangalizi wa kimataifa na waandishi wa habari wa mashirika tofauti ya habari yalikuwa na ripota wao.
Wewe kama unafikiri ni siri, gogogle it! ZEC under military lock down.
Zanzibar Electoral Commission, ZEC, building surrounded by military. No one enters/leaves. Observers + journalists locked inside

Je Jeshi limetumika kisiasa?

Ukimaliza kujiridhisha rudi hapa ,utufahamishe JWTZ walifanya haya kwa sababu gani?
Nani ni mnufaika wa hiki kiroja walichofanya JWTZ?
Wewe unaelewa kauli ya CCM, "Tuna vyombo vya dola"
 
Mkuu hao unaowasifia si wakukaribishe ukaishi kwao?
Wengi wameenda huko utumwani kwa hiari, nawe hatutokushangaa sana!
 
Mkuu naona umechanganyikiwa, CUF Mapanga shaa shaa inawachanganya au vipi?
Mara wanajeshi wanapiga kura, mara jeshi limebaka demokrasia, mara mnataka jeshi liondoke muuane vizuri!
Kile ambacho huongelei ni kukutana na wazanzibari wenzio kujadiliana hayo ambayo wewe mwenyewe wajua hayana mashiko.
Ukizinduka toka mchanganyikiwo bado wazanzibari wenzio watakuwa pale pale kwa mazungumzo bila masharti.
 
Na Mohamed Said yuko wapi!
Huyu hapa:
Cbg3wVUW0AAL6AG.jpg

Hoja zimekuishia unaanza vituko?
Link1.tamter on Twitter
Link2.Raymond Wafula on Twitter
Link3.Dr damlaz on Twitter
 
Mkuu hao unaowasifia si wakukaribishe ukaishi kwao?
Wengi wameenda huko utumwani kwa hiari, nawe hatutokushangaa sana!
Huu wa kugawiwa "maisha bora" sio utumwa? Mshahara wa mwezi hautoshi kununulia mahitaji ya wiki mbili, nao unauitaje? Utumwa wa hiari au utumwa wa kujitolea? Au ni utumwa wa kutumbuliwa majipu?

Hujatosheka na "maisha bora" wanayokupatia ndugu zako wa damudamu?
Akina masokyapindi wanapoangukia pua wanatumia jeshi na Jecha.
Nimekumbuka CCM ziko nyingi, sio ile ya maso iliyotumia jeshi ,ni ile ya Kikwete na Shein.
Miaka 39 ya Ari zaidi,kasi zaidi na nguvu zaidi(za kijeshi) ya kuwagawia umaskini wadanganyika bado wanajisikia kuwa na hatimiliki ya kung'ang'ania madaraka.
 
We tafutana na Masopakyindi kivyako vyako, mi nakutwanga kile kitu watu wa Tanganyika hatupendi kwa unafiki uliopindukia toka kwa ninyi ndugu zetu wa visiwani.
Safari hiii ninyi ni jipu, na mtatumbuliwa kihaswa.
Mzigo mzito mtaubeba wenyewe.
Acha unafiki ndugu,kama kweli ww ni mtanganyika mbona kwenye bunge la katiba mliikataa tanganyika yenu?hivi unadhani unamtisha nani?ok wazanzibar ni jipu ila nyinyi ccm tanganyika ni mabusha na nakuhahikishia mabusha sugu kama ww tunayafanyia opereshen kwa kutumia mapanga mwaka huu.
 
Wanaoutaka muungano ni wale wanasiasa,miye sina time na wala wali na wavivu wa kupindukia.
Watu waliokalia maneno utafikiri maneno yanalipa.
 
We tafutana na Masopakyindi kivyako vyako, mi nakutwanga kile kitu watu wa Tanganyika hatupendi kwa unafiki uliopindukia toka kwa ninyi ndugu zetu wa visiwani.
Safari hiii ninyi ni jipu, na mtatumbuliwa kihaswa.
Mzigo mzito mtaubeba wenyewe.
Umeona unavyojipaka .......... kama kitimoto?

Huo ndio ukweli wenyewe, hakuna cha Zanzibar ni nchi wala nini.
Zanzibar is a grown up region of Tanzania.
Hiyo limited self autonomy ndio inayowachanganya CUF, kufikiri Tanganyika itawaachia na waarabu kurudia utawala kwa kukabidhiwa nchi on a silver platter, not now or ever!

Naomba utoe maana ya unafiki. Unafiki ni nini?

Link Kuvunjika kwa muungano ndio tiketi ya CUF kuongoza Zanzibar
 
Back
Top Bottom