ngozimbili
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 1,398
- 1,006
Bila shaka wengi tunakubaliana na utendaji wa mh. Magufuli,lakini nafasi aliyonayo pamoja na utendaji lazima uwe na muono wa vikwazo vitakavyokwamisha utendaji wake mahiri (ambayo kwa maoni yangu ndio nguvu pekee ya dk. Magufuli angalau kwa sasa).Kutangazwa kufutwa kwa matokeo Zanzibar kunaleta mgogoro mkubwa pengine kuliko yote tuliyopata kukutana nayo.
Jambo la kwanza kuathirika ni diplomasia yetu,kwa rais asiyekuwa na uzoefu ktk diplomasia,huku upande mmoja wa muungano ukiwa ktk mgogoro kujifanya kuchapa kazi tu kunatoa taswira kuwa ni rais wa TANGANYIKA na hana habari na maendeleo ya ZANZIBAR.
Na kama kunahitajika chochote basi kitu hicho JESHI!
Kwa kifupi kama unapeleka JESHI na huna HABARI na chochote,unapeleka ujumbe kwa WAZANZIBAR kwamba wapo UNDER OCCUPATION!
Wapi tunakwenda hatuna hakika lakini tuna uhakika sio kuzuri,na pengine DK MAGUFULI huu ndio mtihani utakaoamua hatma ya uongozi wake.
MUNGU AWAPE HEKIMA.

Nimekuwa nikifuatilia sana siasa za Zanzibar na sipati jibu wa yale yanayoendele kule.
Ikumbukwe kuwa matatizo ya Zanzibar yametokea baada ya Maalim kusema kuwa yeye ndie mshindi
kwa mujibu wa matokeo ya kwenye vituo.
Tume ya uchaguzi ya Zanzibar iliamua kufuta matokeo ya uchaguzi kwa madai ya kuwepo kasoro pamoja Seif kujitangazia ushindi.
Rais aliyepita ndg Jk alijitahidi sana kuhakikisha kuwa anaondoka madarakani bila machafuko kutokea akiwa kiongozi.
Hii inamaanisha kuwa haki isipotendeka na wakati huo huo machafuko yakatokea ina maana ya kwamba Rais aliye madarakani ndie atakaye beba msalaba. Jk atakuwa anaangalia kwenye tv tu.
Namshauri Mh J. P. Magufuli kutumia busara sana kuhusu hali ya sasa ya Zanzibar.
Busara isipotumika hakika Serikali itapata kashfa kubwa sana kwani Wazanzibari walio wengi wameshafanya maamuzi kwenye box la kura.
Mh JPM umeanza kazi vizuri na usikubali Mtanzania
yeyote apoteze Uhai au Viungo kwa ajili ya madaraka.
Mungu Ibariki
Tanzania.