Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,851
- 7,764
Bila shaka, ila kashachelewa na lazima aondoke hata kwa kumkabidhi Emmanuel shadari.Sarakasi zote hizo ni kutaka2 bwana kabange aendelee kusalia Ikulu wanatumia mbinu ya kizamani sana, wangemkodi Jecha2 akamalize kazi kabla hta ya jogoo kuruka bonanza
Bila shaka, ila kashachelewa na lazima aondoke hata kwa kumkabidhi Emmanuel shadari.
Naliona hili, hata huu uchaguzi kuahirishwa huenda mazingira yanaandaliwa.ERS ndio next President wa RDC
Naliona hili, hata huu uchaguzi kuahirishwa huenda mazingira yanaandaliwa.
Tusubiri tuone, tuombe uhaiAfrika itabaki Afrika tu. Kabila kakaa hapo miaka 18 na (sio 17) na Congo ni ile ile pamoja na utajiri wote huo na bado anatoka kwa m'binde mithili ya kupe aliyeganda kwenye ngozi ya ng'ombe pamoja na kuwa ngozi imeshasimikwa ardhini na ng'ombe kuliwa long time..!!!
Kabila anataka atawale tena, this time, kwa kutumia "Proxy" huyo Shagary, ambaye na wengine kadhaa wana marufuku "Ban" ya kutokanyaga Ulaya wala Marekani kwa kujihusisha na ukiukwaji wa haki za binadamu, na baadaye Kabila anataka Shagary amuachie tena ifikapo 2023.
Waafrika tuna tabia mbaya sana ya kuamini kuwa nje ya ikulu hakuna Oxygen hivyo kupelekea watu kuwa na tamaa ya kung'ang'ania madarakani. Very hopeless indeed.
Uchaguzi Mimi naamini upo 30/12 kama walivyopanga ila mshindi Emmanuel anaandaliwa kisawasawa.Hahahaha
Very vzr km unajua hili ,unakumbuka niliwahi kukuambia humu ,Kabila atatoka atampa Anko ake
Hao wapinzani hawana kitu
Sasa tusubiri kauli ya Cornel Nanga wa CENI km hy 31 December uchaguzi upo kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaUchaguzi Mimi naamini upo 30/12 kama walovyopanga ila mshindi Emmanuel anaandaliwa kisawasawa.
Aya bwana, wakubwa wanajua kujitafutia mamlaka nje ya boxHahahaha
ERS kuwa rais RDC hilo halina ubishi ,inasubiriwa atangazwe tu rasmi
Na JKK jnr atakua rais wa baraza la seneti ,nafasi ya sasa ya Kengo wa Dondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nina Uzi mwingine nimeuanzisha Jana jioni, kuna tetesi hali ya hatari itatangazwa na uchaguzi usifanyike kabisa. Kabila ana mambo!!!!Hahahaha
ERS kuwa rais RDC hilo halina ubishi ,inasubiriwa atangazwe tu rasmi
Na JKK jnr atakua rais wa baraza la seneti ,nafasi ya sasa ya Kengo wa Dondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo unayemuita inasemekana aliwekwa na Putin, hatuna cha kujifunza toka kwakeAfrica, Trump njo huku
Mkuu nina Uzi mwingine nimeuanzisha Jana jioni, kuna tetesi hali ya hatari itatangazwa na uchaguzi usifanyike kabisa. Kabila ana mambo!!!!